Chadema katika picha mbuguni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema katika picha mbuguni

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mchambuzixx, Mar 30, 2012.

 1. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  na kamanda mwenyewe nilitia timu labda watupore ushindi kwa nguvu lakini kwisha habari yao magamba...eti hii ndo kata wanayotegemea kuteka watu wote hawataweza


  cdm.jpg
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ushindi ni wa chadema,lakini kwa vikao vya siri vinavyofanyika ccmitakuwa shughuli
   
 3. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  magamba mkitoka arumeru hata aje nani hamtoki hapa ndo meru  cdm1.jpg
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
 6. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  mi nakwambia hata wafanye vikao mia vya siri hawatoki labda wafanye hivi watangaze tu kwamba sioi kashinda hata kama kura kazidiwa ndo watauona motoo
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  View attachment 50514


  CCM imebaki na matusi, ngoja 01.04 waone athari ya matusi yao kwa wanaArumeru.
   
 8. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Aseeee.........
  Interesting indeed!!!
   
 9. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mkuu PJ uko kwenye eneo la tukio nini??????
  Hiyo ni baraa, makamanda chungeni kura zisiibiwe tuu!!!!!!!!

   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mnawtia presha magamba!
  Naona keshokutwa ni mwendo wa kaungukia pua
   
 11. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180

  Kinachonifurahisha ni kuwa kina mama wameanza kuikubali Chadema.
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  mbunge wa arumeru atachaguliwa na wananchi wa arumeru na si vinginevyo.
  Wakae vikao vyote lakini mbunge ni lazima awe yule anayetakiwa na wananchi.
  "nguvu ya umma haishindwi''
   
 13. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Nyota njema uonekana asubuhi. Huu ni ushindi tosha kwa CHADEMA, kazi iliyobaki ni kumbariki mgombea wao kwa kumpa kura nyingi sana kesho kutwa. I pray for Arumeru, I pray for Nassari.
   
 14. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  CDM bana wanaweka photoshop halafu wanajifariji wenyewe kwa wenyewe!
   
 15. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kupenda kubaya sasa kaka hii si picha ya kutengeneza au ndiyo hivyo kujiliwaza na kujifariji.
   
 16. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kazi yako wewe ni kufurahi tu na picha za kutengeneza haya tarehe 2 uje humu JF uendelee kufurahi.
   
 17. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #17
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  kweli Mungu Mkubwa,.............Nassari usiache maombi. Majimarefu na majini yake anaogopa sana maombi. Mganga kama yeye hapa kasema........kila wakitaka kukuingilia anakuwepo mtu anaomba kwa ajili yako. Majini zaidi ya 30 yameshaangamia. Endelea kuomba hvyo hivyo kwa mungu wako................Mungu akubariki
   
Loading...