Chadema mwiba wa mwisho arumeru huu hapa-kazi kwenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema mwiba wa mwisho arumeru huu hapa-kazi kwenu

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MPAMBANAJI.COM, Mar 30, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Hakika kama Mdau wa siasa za kweli nawapongeza kwa kutoa elimu kwa umma kwa hatua nliyofikia

  1.Lusinde katukana wanawake wa Arumeru--Kipigo--Wanawake mtampa kura kwa aliyewatusiiiiiiii

  2.Eneo la waliorudishiwa Ardhi---Ndio tumelitangaza na wameogopa hadi wakarudisha Ardhi---Haya ni matusi tunashukuru ila kura kwa CHADEMA.

  3.Arumeru inaweza kuongozwa na ukoo wa kina Sumari tuuuu----Joshua apeweee
  4.Muda ni mchache uliobaki--lazima tupige kampeni za kutembea na magari hasa maeneo ya wabibi,wababu na wamama
  angalieni yaliyofanyika rombo kwa pesa mbili--kwa kauli zake za dharau

  5.Wamama wamefedheleshwa sana na udhalilishaji matusi na kejeli za Lusinde..ni nyie tuuuu
  6.Funga kazi kwa ushindi....hatuhitaji kuchelewa nipo Tengeru ndani hapa wazee nanikubali...nipeni nguvu...sambaeni zaidi keshooooooooo....


  PEOPLES'!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! JAPO NIPO CCM...Ninahitaji siasa za kweli


  Badae
   
 2. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  viva la chadema
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Wote mlio Arumeru piteni kwa kina mama na wazee huko Arumeru muwalilie sana sana, waelezeni sisi vijana tunawategemea wao, tunajua wameshoka na hawawezi kutuachia urithi wa mali, basi waturithishe uongozi bora jumapili watumbukize CHADEMA.
   
 4. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  1 Kupiga kura zidi ya mara moja: Bandika wino usiotoka (Ukitoka je)
  2 Gawa shahada kwa wasio husika: Mawakala kuwagundua kwa sura
  3 Kugawa karatasi zaidi ya moja kwa mpiga kura: Wakala kuwa makini
  4 Kutumbukiza kura katika box kabla ya kufunga
  Kufunga kituo: Wakala akihongwa anakubali. (Sijui hapa watafanya nini)
  5 Mpiga kura anaweza kuingia na karatasi nyingi za kura alizopigia nyumbani. Hii hutumika sana kama masanduku ya kura yakiwekwa kwenye vizimba. (Tunazibiti vipi)
  5 Tuwe makini na hizi Ambulance zinazokpita pita kila mara haswa wakati huu wa Uchaguzi (Tafanyeje sasa)

  6 Kutumia nguvu kuwatisha mawakala, kuchakachua (Nini kifanyike), hii inaweza ikawa katika vituo vya kupigia kura, wakati wa kusafirisha masanduku na wakati wa majumuisho. (Hapa naona ipo kazi, labda mawakala wa nguvu wasioogopa MG)
  7 Kuwahi sana kupiga kura na kuwaacha mawakala peke yao katika vituo (hapa inakuwaje?)
  8 Segerea style, kukimbia na masanduku ya kura. Hapa panahitajika escot ya nguvu sana, bila hivyo sijui. Bodaboda wanaweza hii kazi.
  9 Je Magari ya Jeshi yanaweza kutumika, Basi tume ipate ma MP ili kushirikiana na wananchi wenye wasiwasi.
  10
  kuanzisha vurugu kituo cha kupigia kura hasa mida ya jioni. (Kuabakia katia vituo m 103 hadi kura zinapoondoka)
  11 Karatasi ya kupigia kura huchanwa kwenye kitabu: Kwa maana hiyo idadi ya kura zinazopigwa ni lazima iwiane kwa idadi na serial namba za karatasi, itakayokosekana kwenye kishina cha kitabu si kura halali. mawakala wahesabu idadi ya karatasi zilizotumika, wawianishe kwenye vishina wakati wa kuhesabu.
  12 kutumia chupa za chai na hotpot za vyakula.
  (Zinapoletwa kwa mawakala zisachiwe)
  13 Kuwapotosha wapiga kura kwa taarifa za uongo siku ya kupiga kura. (Tumienin mawakala kupata taarifa sahihi)
   
 5. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa stahi ya mbinu hizo, sina wasiwasi na ushindi wa nassari!
   
Loading...