Eti ni kweli? Nipeni uhakika!

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Nimepigiwa simu na majamaa zangu nikaambiwa juzi OLEMEDEYE GOODLUCK (naibu waziri) alipata kizazaa kijijini Shambarai mbuguni baada ya mkutano wake wa kampeni kuibuka vurugu? na vijana kuanza kumpayukia 'atokeee, aendee, tokaaa,..' Hebu niakikishieni hiyo nijue moja.
 
Muulize aliyekupa habari atakuwa anajua vyema, nafikili sio busara kupewa taarifa na mtu usimuhoji uje kuhoji JF
 
Naomba utoe ujibu kama unalo. Usiandike hovyo tu na limuandiko lako libaaaya#
 
Usitegemee JF kama chanzo pekee hata magazeti yaliandika hilo kwa kirefu kama mwanachi.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.

Mkuu mbona hukumalizia na "Kudadadeki"?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom