Kwanini CCM mnavunja sheria za uchaguzi Arumeru kiasi hiki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini CCM mnavunja sheria za uchaguzi Arumeru kiasi hiki?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by yplus, Mar 30, 2012.

 1. y

  yplus Senior Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawapongeza sana CDM kwa kujitahidi kufuata sheria za uchaguzi ila CCM mnavunja sheria kupita kiasu.
  Mkutano mlio ufanya eneo la makumia siku ya Alhamisi mlifunga mkutano saa 12:38 wakati kisheria mwisho ni saa 12:00
  Leo siku ya Ijumaa eneo la king'ori nimeshuhudia gari likipita mtaani na kupiga kampeni saa 1:38
  Kwanini mnatufanya wana Arumeru ni mambumbumbu hatujui sheria?,kweli mnashangaza sana.
  Nawasilisha...
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kunya anye kuku akinya bata noma!!! Hata matusi waliyoyatoa Arumeru ingekuwa ni upinzani yangetoka TBC1 bila chenga. Nakumbuka Igunga walimpa airtime yule mgombea aliyekuwa anafungua kampeni kwa kuuza pombe sijui wa chama gani vile.

  Wanajua wako favored by factors ambao ni polisi.

  Ona sera za CCM!!!!!!!!!
  Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
  Pigaaaaaaaaaaaa
  Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
  Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
  Kijaniiiiiiiii.
  Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
  CCM Oyeeeeeeeee.
  Oyeeeeeeeeee.
   
 3. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mbona CCM hiyo ni kawaida yao! MWaka 2010 tulishuhudia hilo sana na kwa aibu kubwa yule kada wao namba moja Msajili wa Vyama vya Siasa G. Tendwa, akawatetea hadharani. JK alipokuja Arusha kwa kampeni pale Sheikh Amri Abeid alihutubu hadi saa 12.30 jioni baada ya kuchelewa kusimama akisubiria watu wajae.

  Kwa hilo, wapiga kura wanaata nafasi ya kuwapima CCM na ndo maana si ajabu kuwa wanataka kutawala hadi milele wakidhani kuwa labda wanaweza kuisaidia Tanzania kuendelea baada ya miaka ya hiyo ya UMILELE!
   
Loading...