Vijana wa Mafia watumia Facebook kufichua maovu ya Mbunge wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wa Mafia watumia Facebook kufichua maovu ya Mbunge wao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Mar 30, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kutokana na ahadi nyingi za kisiasa alizoweka na hadi sasa hajatimiza, vijana wa Mafia wanatumia facebook kujadili mustkabli wa kisiwa Chao
  tayari mtandao huo mdogo wa facebook unaojulikana KISIWA CHETU CHA MAFIA unaonekana umekuwa mwiba mkali kwa Mh Bulj.
  Wadau mbali mbali kama Mbaraka Dau ambae amejiapnga kumuangusha Bulj anaonekana kuwa mwanachama hai wa mtandao huo

  Hongera vijana kwa kuamka mapema
  ni hapaWelcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More
   
 2. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii ni hatua kubwa ya maeneleo kisiasa na kijamii. naamini Kimbao, bulj na mbaraka dau waatumia fursa hii kujieleza. lkn inawezkana ikawapa wakati mgumu
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mbaraka dau ni wa Chama gani?
   
 4. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  ni gamba gumu mdogo wake dr. Dau ceo wa nssf
   
 5. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwani Kimbao ni nani huko Mafia?
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu wala sichangii tena acha mijizi iumizane
   
 7. J

  Jicho langu Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tutajie Ahadi za Bulj ambazo hajazitimiza mkuu...?
   
Loading...