Lowasa AJA NA SALAAM MPYA! APO JE! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa AJA NA SALAAM MPYA! APO JE!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by KOMBAJR, Mar 30, 2012.

 1. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Katika hali ambayo inaonyesha kupoteza mwelekeo ni pale lowassa alipo geuka kituko kwa kulazimisha audiance kumsikiliza kwa kusema Hapo je!bila majibu.
   
 2. kopuko

  kopuko Senior Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mbona sioni kituko hapo sasa
   
 3. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  kitu ni hapo je bila majibu
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Pengine kasahau Kiswahili, si mnakumbuka alikuwa Ujerumani? danke danke!
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Alitaka hapo sawa, imekula kwake


  Ona sera za CCM!!!!!!!!!
  Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
  Pigaaaaaaaaaaaa
  Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
  Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
  Kijaniiiiiiiii.
  Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
  CCM Oyeeeeeeeee.
  Oyeeeeeeeeee.
   
 6. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Siyo lazima uone!
   
 7. w

  woyowoyo Senior Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  staring EL kamaliza picha
   
 8. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu hii mambo ya Kuona TBC na michuzi blog inakupumbaza....hali sivyo hivyo unavyofikiri.
   
 9. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  NA BANGI INA RANGI GANI?? (haya magamba toleka,toleka,jibuni na mtie oyyyeee na oyeee yenyewe oyeeee)) mazafanta!!!
   
Loading...