leo mida ya mchana zimetokea vurugu kati ya CHADEMA na CCM katika wilaya ya Rungwe kata ya kiwira, CCM wanagawa rushwa ili mgombea wao apite kweny uchaguzi wa diwani! Pamechimbika hadi FFU kutk...
Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka kwa mwanaharakati aliyeko Arumeru mashariki ni kwamba masanduku 16 yakamatwa Tengeru yakiwa na kura zilizopigwa. Yamepatikana masanduku hayo 16 yakiwa...
Amezaliwa pale,
Ni mwenyeji wa pale wazee kwa vijana wanamjua,
Anakubalika hata na wazee wa CCM.
.......................................
Mfuasi wa CCM, Ester Leusha akimuombea dua Mgombea Ubunge...
Katika kikao kilicho fanyanyika kwa siri kati ya raisi kikwete na maofisa wa chuo hicho,wamekubaliana wanafunzi waliohitimu mafunzo ya polisi jana,wote waletwe arumeru kwa maelekezo maalum...
leo start tv wamepotezea taarifa inayohusu kampeni za chadema ze udiwani kata ya kirumba mwanza baada ya kuona maelfu ya watu walioudhuria tofauti na mkutano wa ccm ambao ulikuwa na watu wachache...
Wakuu nimepata habari za uhakika kutoka kwa watu kama wawili waliofanikiwa kupewa hela za magamba ili wauze kura zao lakini wamenihakikishia kuwa kipindi hiki hawadanganyiki ngo.
Mzee huyu ni kama amechanganyikiwa ukimwambia mkulima wa arumeru, tz inaheshimika kimataifa what does that have do with him/her getting access to water, land, electricity or him having financial...
1.waliamua kuvamia shamba la mwekezaji eneo la sing'isi WAKIDAI ARDHI YAO,walikata migomba.Ile vurugu haita sahaulika.
2.Walipigana usiku na mchana kudai Diosis yao,walikata miti na kuzuia...
mamia ya wakazi wa kingo'ri wameonekana wakipanda vibasi(daladala na costa) wakielekea kwenye mkutano wa chadema maeneo ya tengeru.waliobaki kwenye mkutano wa ccm ni maafisa usalama na mamluki...
Tanzania wizi wizi mtupu!
Tanzania chini ya utawala wa sasa imeanzisha mtindo wa kula kwa zamu. Kila anayepata nafasi au cheo serikalini lazima ajitafutie jinsi ya kuitumia ili kujitajirisha...
habari za kuaminika kutoka kwa jamaa angu ambaye ni msimamizi wa votuo vya kupigia kura amenambia wamegawiwa masanduku ya kupigia kura usiku huu na wameambiwa ni lazima walale kwenyw vituo vya...
Katika hali ya kushangaza magari ya CCM yamevamia mkutano wa CHADEMA ambao ni wa kufunga kampeni za uchaguguz wa Diwani kata ya Changombe mkoani Dodoma.Kilichotokea walipigwa mawe na kuvunjiwa...
Mwanasiasa mkongwe tanzania kingunge ngombale mwiru amepata aibu ya mwaka baada ya kuambulia zomea zomea alipokuja kiwangwa kuja kumnadi mgombea udiwani wa ccm kata ya kiwangwa. Mzee huyu...
Habari nzenu ndugu zangu​
Naomba wale waliopo huko Arumeru East, watupatie Coverage ya kampeni za CDM za lala salama leo zilikuwaje, kwasababu nilitegemea kusikia labda kupitia ITV, lakini...
Ndugu zangu watanzania,nimejaribu kutafakari sana siasa zetu miaka hii na hatma ya nchi yetu.
Ukiuangalia uchaguzi wa igunga na ukija uchaguzi wa arumeru mashariki utagundua kuwa safari yetu kama...
Mh.Ngereja amesikika usiku wa manane wa kuamkia leo katika villa park night clab akitangaza live kwamba wamchague Jackson Masamaki.Wakazi wa Kirumba wanadai mh.pamoja na kuhutubia mkutano wa...
April Mosi, 2012 ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani na Mbunge katika Tanzania bara.
Siku hiyo, kila April Mosi, ndiyo siku watu wanayosema uongo sana (mkubwa na mdogo), kwa kisingizio cha...