Tumekula hela za magamba lakini kura kwa CDM hiyo kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumekula hela za magamba lakini kura kwa CDM hiyo kesho

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by gayo, Mar 31, 2012.

 1. g

  gayo JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wakuu nimepata habari za uhakika kutoka kwa watu kama wawili waliofanikiwa kupewa hela za magamba ili wauze kura zao lakini wamenihakikishia kuwa kipindi hiki hawadanganyiki ngo.
   
 2. Sn2139

  Sn2139 JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 827
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  usiwaamini sana wa-Tz ndugu ... utalala porini
   
 3. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Peke yako ndo hautawapa kura CCM
   
 4. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baseless information, no source and its majungu oriented!
   
 5. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kama una akili timam siyo ya maiti huwezi kuchagua ccm!
   
 6. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hali ambayo nimeiona Arumeru mashariki, kuichagua CCM lazima uwe na UTAHIRA WA KUZALIWA.
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [h=6]Asenga Abubakar[​IMG]TANURU LA FIKRA
  [/h][h=6]TUNAMSHUKURU MUNGU CCM TUMEFUNGA SALAMA KAMPENI KTK KATA YA KINGO'RI,CCM HATUPASWI KUWA NA MANENO MENGI ZAIDI YA waliokuja mkutanoni wote walikuwa na vitambulisho vyao na wamejiandikisha,nashangazwa na fujo nilizokutana nazo usariva na liganga chini, ambapo vjana waliovaa skafu na kofia za chadema waliwazomea watu waliovaa unifom za chama cha siasa ccm na kuwatukana.wana ccm hongeren kwa hekina z...enu za kupita salama na kunyamaza na wala wao wanapopita na unifom zao kwenye kundi lenu hamkuwazomea walakuwatukana. nimeshuhudia kwa macho mabasi yakitoka arusha na vjana waliovaa kofia na sare za cdm wakishushwa patani.WALIOFIKA KINGORI WATAKUBALIANA NAMI UMATI ULE WAWANACCM HAKUNA ALIEBEBWA NA USHAHIDI NIKUWA BAADA YAMKUTANO WATU WALITAWANYIKA KWENDA MAJUMBANI KWAO,NAJUA KATA ZA BARABARAN CDM WAMEJIPANGA KULETA FUJO KESHO BAADA YAKUTANGAZWA MATOKEO NA KUSEMA KURA ZIMEIBIWA KAMA SLAA alivyosema leo kuwa kura 10000 zilikuwa et zimeshapigwa,nawambia mfa maji aachii,,,,,,,,,,kwa uchunguzi wangu ccm inashinda kesho kwa zaidi ya kata 10,kama zanzibar kura 5300 kwa 200 za cdm bado walilalamika kuibiwa kura,hawataacha kama igunga,CCM tukishindwa kama kawaida ytu tutakubali matokeo na ndio maana leo kuna zito,mdee na mbowe bungeni. CHADEMA MKISHINDWA KUBALINI MATOKEO.IDUMU ARUMERUSee More
  [/h][​IMG]
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  WALIOFIKA KINGORI WATAKUBALIANA NAMI UMATI ULE WAWANACCM HAKUNA ALIEBEBWA NA USHAHIDI NIKUWA BAADA YAMKUTANO WATU WALITAWANYIKA KWENDA MAJUMBANI KWAO,NAJUA KATA ZA BARABARAN CDM WAMEJIPANGA KULETA FUJO KESHO BAADA YAKUTANGAZWA MATOKEO NA KUSEMA KURA ZIMEIBIWA KAMA SLAA alivyosema leo kuwa kura 10000 zilikuwa et zimeshapigwa,nawambia mfa maji aachii,,,,,,,,,,kwa uchunguzi wangu ccm inashinda kesho kwa zaidi ya kata 10,kama zanzibar kura 5300 kwa 200 za cdm bado walilalamika kuibiwa kura,hawataacha kama igunga,CCM tukishindwa kama kawaida ytu tutakubali matokeo na ndio maana leo kuna zito,mdee na mbowe bungeni. CHADEMA MKISHINDWA KUBALINI MATOKEO.IDUMU ARUMERUSee More[​IMG]
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Utumwa ni dhambi mbaya sana.
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Njaa mbaya....Aiseeeeeeeee!!!!!!!!!!!
   
 11. +255

  +255 JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Labda kama kura watapiga hao jamaa zako wawili..
   
 12. z

  zedlyn JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hizo habari za kuunga unga si lazma upost km huna cha kuongea na kuconvice great thinkers alafu cdm acheni kutisha watu mara patachimbika au damu kumwagika najua hamuwajui wameru mrema anaweza kuwa na kumbukumbu nzur 1992,
   
Loading...