Mkapa: Miaka 50 ya uhuru Tanzania inafahamika na kuheshimika kimataifa

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Mzee huyu ni kama amechanganyikiwa ukimwambia mkulima wa arumeru, tz inaheshimika kimataifa what does that have do with him/her getting access to water, land, electricity or him having financial resources to send his/her kid to school ?? Mkapa is out of touch aende akale mkate wake wa siagi akalale asubiri hukumu ya CDM inakuja.
 
Pia gana nilimsikia tena akisema eti miaka hamsini ya uhuru wa tanzania kila mtanzania anamiliki simu ya mkononi? for sure that man is out of sense. again kumiliki simu na kuondoa umsaskini wapi na wapi?
Mzee huyu ni kama amechanganyikiwa ukimwambia mkulima wa arumeru, tz inaheshimika kimataifa what does that have do with him/her getting access to water, land, electricity or him having financial resources to send his/her kid to school ?? Mkapa is out of touch aende akale mkate wake wa siagi akalale asubiri hukumu ya CDM inakuja.
 
Hivi mkapa katumwa na nani ARUMERU? Sitaki kuamini kama kweli mkapa ametumwa na KIKWETE. Na kama ni kweli, basi, MKapa ni HOPELESS na JK is HOPELESS A THOUSAND TIMES.

Uchuguzi wa ARUMERU umetufundisha mengi, moja kubwa ni kufahamu kuwa kumbe MKAPA hakatustahili kuwa rais wa nchi hii. AKILI NA MITAZAMO YAKE INATUTHIBITISHIA HILO.
 
Siamini kama Mkapa naye anaongelea miaka 50 ya Tanzania, kama ni kweli basi na yeye ni ZUZU na hakufaa kuwa Rais wa Tanzania. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilizaliwa 1964 sasa hiyo miaka 50 imefika lini?
Hawa jamaa looks like wote wanafikiria "kimasaburi"!!!
 
yule mzee ni janga la kitaifa wakuu, nashindwa kupata mantiki ya busara za huyu mzee, kweli mkapa kaishiwa, hawa MAGAMBA wanashindwa hata kuongeza za mbayuwayu!! Kazi kwelikweli !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom