Jamani Ngereja hii siaibu kusikika unapiga kampeni usiku kucha katika clab ya villa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Ngereja hii siaibu kusikika unapiga kampeni usiku kucha katika clab ya villa

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Eraldius, Mar 31, 2012.

 1. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Mh.Ngereja amesikika usiku wa manane wa kuamkia leo katika villa park night clab akitangaza live kwamba wamchague Jackson Masamaki.Wakazi wa Kirumba wanadai mh.pamoja na kuhutubia mkutano wa adhala jana haikutosha ukaona jukwaa la villa ndo litawashindisha.
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  so what?
   
Loading...