samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
leo start tv wamepotezea taarifa inayohusu kampeni za chadema ze udiwani kata ya kirumba mwanza baada ya kuona maelfu ya watu walioudhuria tofauti na mkutano wa ccm ambao ulikuwa na watu wachache ukilinganisha na wa chadema licha ya waziri ngereja kucheza kwaito jukwaani.