Sipendi hili litokee April Mosi, 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sipendi hili litokee April Mosi, 2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mnyamahodzo, Mar 25, 2012.

 1. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  April Mosi, 2012 ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani na Mbunge katika Tanzania bara.

  Siku hiyo, kila April Mosi, ndiyo siku watu wanayosema uongo sana (mkubwa na mdogo), kwa kisingizio cha "Fools Day".

  Kama Igunga siku ya uchaguzi mdogo CCM waliweza kuzusha mgombea wa CHADEMA kajitoa bila aibu wakitumia gari kusambaza taarifa hizo, sembuse ktk 1/4/12.

  CCM ya sasa, kusema uongo si mwiko maana walikwisha uvunja. Nahofia siku hiyo kuweza kuzusha mengi ya ajabu kwa msaada wa Polisi na Taasisi nyingine za serikali kwa kisingizio cha Fools Day.

  Mlio mstari wa mbele na wa kati katika maeneo ya kampeni, watahadharisheni wananchi na kwamba wajipange.
   
 2. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  CCM hawashindwi kudanganya na kujitetea tulifanya hivyo asubuhi, "kwani hamjui leo ni "fools Day?"
   
 3. L

  LOMAYANN JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1,164
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  wakithubutu tu kufanya hivyo uchaguzi unavunjika kwa KWELI ARUMERU WATU hatutaki umagamba huu tena
   
 4. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,915
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  CDM wameanza mapema kutoa uwongo kuwa KUNA vituo vya kupigia kura hewa; haid wameshushuliwa na Tume ya Uchaguzi; FOOLS Day watakuja na UCHANGUZI HAKUNA
   
 5. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mbona unakuwa mzushi, uthibitisho wa vituo hewa 55 umetolewa, Mkurugenzi wa Uchaguzi Arumeru Mash, mwanzoni alijitia kuruka baadaye akakubali kiaina kuwa ni dosari ndogo orodha kamili ya vituo itatolewa baadaye. Alipewa ushahidi wa vituo halali na feki kwa kila kata. Wewe unakuja na pumba leo!!

  Go and rethink.
   
 6. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu, si Arumeru tu, bali hata Mwanza, Dodoma, Songea ama Dar(Vijibweni) wanaweza fanya udanganyifu huo.
   
 7. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Je unafikiri nini kifanyike ili kudhibiti fursa hiyo wanayoweza kuitumia CCM kuwadanganya wananchi?
   
 8. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  wasisubutu, Tutalipiga mawe....
   
 9. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kila mkutano wa CHADEMA wanawakumbusha wananchi kuwa siku hiyo ni siku ya wajinga dunia hivyo CCM wanaweza kupita na magari ya matangazo na kuwatangazia kuwa Mgombea wa chadema amejitoa au amekufa hivyo waende wakaipigie CCM tu.....hivyo wapuuze taarifa zozote za namna hiyo
   
 10. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Naona umegeuza siku ya wajinga kuwa ni leo....Tume baada ya kubanwa na chadema kuwa wameongeza vituo kinyemela imebidi wayatangaze rasmi kuwa ni kweli wameongeza na kupunguza baadhi ya majina lakini cha ajabu hawaja toa sababu kwanni wamepunguza majina na baadhi kuya hamisha vituo bila sababu....subua akili acha kutumia masaburi mkuu
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Tumewazoea MAGWANDA kulalamika.
   
 12. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mzee, unaweza kuonyesha ni mchangiaji yupi aliyelalamika? Si vibaya ukinukuu malalamiko yake.
   
 13. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Nitahadhari tu!
  Lakini ni muhimu kuwatahadharisha watu litakapotokea wajue namna ya kuwapuuza magamba.

  Wanajiita ni wataalamu wa propaganda. Propaganda ni uongo unaorudiwa-rudiwa mara nyingi ili watu wauamini kuwa ndiyo ukweli wenyewe.
   
 14. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmeshaanza kuonyesha dalili za kushindwa! kwani nyie kwanini msitumie hiyo siku! Siku zote kwenye mikutano mlikuwa mnashindana kuonyesha ni chama kipi kina uwezo wa kutukana na mkasahau kuwaambia wapiga kura wenu kuhusu tarehe 1?
   
 15. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 180
  CCM ni wa kuhurumiwa!
   
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160

  Hawa siyo wa kuhurumiwa hata chembe Kamanda wangu!

  Ingali wapo ICU lakini Mi nafsi yangu sitaki huruma kwao hata punde!
   
 17. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Haipasi hata kidogo kumhurumia mshindani wako. Ukikosfa tu utaaibika. Atakushinda yeye.

  Mshindani mwenyewe CCM ambaye hata akishindwa bado ni katili. Hapaswi kuonewa huruma.

  Alishindwa urais, akapora na anaiangamiza nchi kwa kuitia kwenye madeni, kuvuruga uchumi na kupandisha mfumuko wa bei.
  Walishindwa ubunge, wakachukua samani katika ofisi ya mbunge sehemu husika.
  Wameshindwa Arusha na Mwanza, wanazivuruga kiuchumi na kiutawala.
  Orodha ni ndefu .........
   
Loading...