CCM yavamia msafara wa CDM kampeni Dodoma

NGOWILE

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
454
258
Katika hali ya kushangaza magari ya CCM yamevamia mkutano wa CHADEMA ambao ni wa kufunga kampeni za uchaguguz wa Diwani kata ya Changombe mkoani Dodoma.Kilichotokea walipigwa mawe na kuvunjiwa vioo na Red Guard wa CHADEMA.
 
kama kuna nyama zaidi ongezea, kimsingi ni story nzuri, je hapakuwepo ulinzi wa jeshi la ccp? kama ulikuwepo nini kimewapata!
 
Back
Top Bottom