Masanduku 16 yamekamatwa yakiwa na kura zilizopigwa Arumeru Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masanduku 16 yamekamatwa yakiwa na kura zilizopigwa Arumeru Mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by HOJA YANGU, Mar 31, 2012.

 1. H

  HOJA YANGU Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka kwa mwanaharakati aliyeko Arumeru mashariki ni kwamba masanduku 16 yakamatwa Tengeru yakiwa na kura zilizopigwa. Yamepatikana masanduku hayo 16 yakiwa yameichagua CCM. Mwenye taarifa kamili tafadhali amwage hapa janvini. Photos will be appreciated.
   
 2. R

  Renegade JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  Lolote linawezekana si uliwasikia humu wanavyesema kuwa lazima washinde!!! Embu wadau mtujuze ukweli wa habari hii.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wewe ndio inabidi umhoji kwa kina huyo mwanaharakati aliyekupa hizo taarifa. Hii taarifa ni mpya kwa sasa.
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Magamba wameapa kuwa kwao ushindi ni lazima. Chadema tujiandae kwa mapambano hadi tone la mwisho la damu.
   
 5. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Sasa ndio naamini kuna uchaguzi Arumeru Mashariki
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Wahusika lazima dola wawepo hawakosekani!
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  The Flamboyant The Flamboyant is online now
  Member

  Add as Friend Add as Friend
  Send Private Message Send Private Message
  Add to Ignore List Add to Ignore List
  User Notes User Notes (0)
  Find latest posts Find latest posts
  Find latest started threads Find latest started threads
  Likes Received Likes Received (2)
  Likes Given Likes Given (0)

  Join Date
  31st March 2012

  Last Activity
  Today 12:03

  Avatar
  The Flamboyant's Avatar

  Mkuu leo naunataka kumwaga damu??
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mwambie mwanaharakati apige picha basi
   
 9. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jamani tupe habari
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Magamba wanambinu za kitoto!
   
 11. L

  Lihove JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Naona magamba maji yanazidi unga; mkuu uliyeko huko heb tupo update zaidi,cdm hakuna kulala.hizi ni dalili za ushindi
   
 12. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukiona bondia ananyanyua mikono juu jua makombora yameshampata!
   
 13. E

  ENKOKOROMI Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Tunashukuru mkuu, hakikisha kama uko Arumeru mnakula nao sahani moja hao wezi,endelea kut-updatde
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hizi taarifa nimezipokea kwa njia ya simu, ikanifanya ni browse jf kujua kama kuna mwingine mwenye taarifa hizi.
  Inaonekana ni kweli, kwani mtu aliyenipigia hajawahi kudanganya.
   
 15. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Pumbavu zao msiwakawize hao wachapeni kabisa.
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wewe unawashwa na nini? Endelea kuwa kupe ili uzidi kuwanyonya wanyonge wa nchi hii.
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Arumeru itageuka kuwa battle ground kama habari hii ni ya kweli. CHADEMA NEVER GIVE UP.
   
 18. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  siku nyingine fuatilia kwa kina kwanza halafu ndo uje kutupasha hapa!
   
 19. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,792
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  mkuu mungi fuatlia habari hizi ni nyeti sana nakuaminia na habari zako nipo moshi nawasili huko muda sii mrefu!!
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mbona mapema sana wameanza sasa moto unatakiwa uwake watu wasijisahau kwenye kampeni halafu magamba wakatumia muda watu wamejikusanya kuingiza mabox yao ya kura za sioi
   
Loading...