Naomba mtupatie update za cdm leo toka arumeru east | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba mtupatie update za cdm leo toka arumeru east

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by commited, Mar 31, 2012.

 1. commited

  commited JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Habari nzenu ndugu zangu​
  Naomba wale waliopo huko Arumeru East, watupatie Coverage ya kampeni za CDM za lala salama leo zilikuwaje, kwasababu nilitegemea kusikia labda kupitia ITV, lakini cha kushangaza kwenye yale maandishi yanayopita nchini ya screen wakati wa taarifa ya habari ya leo usiku saa 2.00, ilionyesha kuna taarifa hiyo " CDM yafunga kampeni Arumeru East" lakini haikusomwa. Sasa ndio maana nikaomba mwenye update azimwage hapa na tujue wamehitimishaje. Zaidi ya yote naomba Mungu asaidie Kesho (1/04/2012) haki itendeke.. atakaeshinda kihalali ndie atangazwe, kila mtu awajibike kudumisha amani. Vyama vitapita lakini Tanzania itabaki daima.
  Karibuni mwenye Update Tafadhali...
   
Loading...