Tanzania wizi mtupu! Kila kigogo na NGO! Watu wetu watanusurika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania wizi mtupu! Kila kigogo na NGO! Watu wetu watanusurika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Mar 31, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [h=3]Tanzania wizi wizi mtupu![/h]

  [​IMG]
  Tanzania chini ya utawala wa sasa imeanzisha mtindo wa kula kwa zamu. Kila anayepata nafasi au cheo serikalini lazima ajitafutie jinsi ya kuitumia ili kujitajirisha na familia yake. Baada ya Mwanaidi Majaar kuangukia nafasi ya ubalozi kutokana na uhusiano wake mzuri na Jakaya Kikwete, amekuwa mbioni kuhakikisha anafanya kile wanachofanya akina Salma Kikwete, Anna Mkapa, Regina Lowassa na wake wengine wa vigogo. Tofauti na wao, Mwanaidi ameanzisha NGO ya mumewe sawa na watajwa walivyoanzisha NGO kupitia migogoni mwa waume zao. Mwanzoni tuliambiwa ni Foundation kumbe kampuni ya biashara. Huyu Hassan Majaar ukiachia mbali kuwa mume wa balozi ni nani Tanzania?

  Taarifa zilizopo ni kwamba NGO hii ya ulaji imeanzisha duka la vitu mbali mbali jijini na kuliita la hisani wakati hakuna hisani yoyote bali usanii. Je kwa mchezo huu watu wetu watanusurika?
   
 2. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,565
  Likes Received: 624
  Trophy Points: 280
  Acha tu si muda mrefu nimemuona mke wa raisi akisema mimi kupitia taasisi yangu nitasaidia.... Nikajiuliza the same question...kazi tunayo kwa hawa vibaka wanaotuongoza...
   
 3. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Uliza TANESCO na Wizara ya madini nas nishati wanajua vizuri sana kampuni yake ya uwakili ilivyo neemeka kwa mikataba na kesi za richmond etc
   
Loading...