wananchi waukimbia mkutano wa ccm huko kingo'ri

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
mamia ya wakazi wa kingo'ri wameonekana wakipanda vibasi(daladala na costa) wakielekea kwenye mkutano wa chadema maeneo ya tengeru.waliobaki kwenye mkutano wa ccm ni maafisa usalama na mamluki wanahisiwa kutoka monduli.
 
Walishajua sera zipo Tengeru. Sana sana hapo King'ori watakachoambulia ni Uporomoshaji wa Matusi! Sasa mtu gani mwenye akili timamu aende yeye na mke na watoto wakasikilize matusi!
 
mamia ya wakazi wa kingo'ri wameonekana wakipanda vibasi(daladala na costa) wakielekea kwenye mkutano wa chadema maeneo ya tengeru.waliobaki kwenye mkutano wa ccm ni maafisa usalama na mamluki wanahisiwa kutoka monduli.
Habari njema sana hii. Magamba lazima yaende kuzimu.
 
Hizi habari zimenipa amani ya rohoni, na afya mifupani! Ccm watagundua very soon kilichomnyofoa kanga manyoya ya shingo. Hongera sana wanaArumeru kwa upevu huo wa akili. Mungu wa mbinguni awaamshe salama kesho, na awape ufahamu mchague mbunge kijana mwema na mwenye akili-Nasari.
 
kuna rumours zinaenea kwa kasi kuwa siyoi ni mtoto wa nje ya ndoa wa marehemu sumari.na mbaya zaidi mama yake ni mjaluo wa kenya.
 
Hizi habari zimenipa amani ya rohoni, na afya mifupani! Ccm watagundua very soon kilichomnyofoa kanga manyoya ya shingo. Hongera sana wanaArumeru kwa upevu huo wa akili. Mungu wa mbinguni awaamshe salama kesho, na awape ufahamu mchague mbunge kijana mwema na mwenye akili-Nasari.

Kuota ndoto mchana inaruhusiwa lakini hizo ndoto basi angalau ziwe 'germane'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom