Historia ya wana Arumeru wanapo dai haki ni hii hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Historia ya wana Arumeru wanapo dai haki ni hii hapa.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by yplus, Mar 31, 2012.

 1. y

  yplus Senior Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1.waliamua kuvamia shamba la mwekezaji eneo la sing'isi WAKIDAI ARDHI YAO,walikata migomba.Ile vurugu haita sahaulika.
  2.Walipigana usiku na mchana kudai Diosis yao,walikata miti na kuzuia barabara gari za polisi,zisitoke.Mrema ndiye aliye fanilisha kutatua huo mgogoro.

  Sasa Serikali ya CCM,hawa jamaa wamesha zoea timbwilitimbwili,msiwa beep,Kweli patanuka.

  Nawasilisha.
   
 2. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mkweli. Acha Mwema na siafu wake wajaribu watauona moto wake. Thithi noma!!!
   
 3. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Patachimbika policeccm wakituonea watuachie tu tupige kura na kulinda kura zetu.
   
 4. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  watajuaje kama wameibiwa kura?
   
Loading...