vurugu kiwira uchaguzi wa diwani

mwakunakajoja

Member
Oct 9, 2011
5
0
leo mida ya mchana zimetokea vurugu kati ya CHADEMA na CCM katika wilaya ya Rungwe kata ya kiwira, CCM wanagawa rushwa ili mgombea wao apite kweny uchaguzi wa diwani! Pamechimbika hadi FFU kutk jiji wameenda kutuliza! Hali si shwari kabisa, CCM kubalini kushindwa CHADEMA ni moto wa kuotea mbali! Hope wananchi wa arumeru nao hawatakubali ili litokee!
 
Nimepita pale mida ya jioni hii (saa 12) hali ilikuwa shwari. Ile mioto ya matairi ilikuwa ishazimwa na mabomu yalikuwa yameishatulia. Usafiri ulikuwa umerudia hali yake ya kawaida ingawa lile gari la ***** lilikuwa likifanya doria za hapa na pale. Pia nimeona idadi kubwa kabisa ya FFU.

Habari hii imeanza kupostiwa tangu muda ule wa tukio lkn inaonekana kama leo wanajf wako busy na Arumeru. Ni kama watu hawana interest kabisa nayo.
 
Poleni sana ndugu zetu, izo ela mnazopewa ni zenu zile mlizopolwa, sasa kuleni izo ela lakini kura msiwape ccm, kumbuka kuchagua ccm ni kuchagua mafisadi, otherwise mnayaweka maendeleo pia mustakabali wenu rehani, kumbukeni kuwa kura zote za ndio ni kwa cdm, good night ndugu wa kiwila
 
CCM is no longer. kuchagua ccm ni lazima uwe na mapungufu kwenye GENE MAKE UP YAKO. Kinachoonekana sasa ni matumizi ya dola na fedha za walipa kodi. Lakini mwisho uko karibu sana.
 
Back
Top Bottom