Tuungane kuombea uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuungane kuombea uchaguzi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Lucas, Apr 1, 2012.

 1. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Habari wana JF, mimi naomba kwa wote wenye Mapenzi mema na chaguzi zoote zinazofanyika leo bila kujali itikadi za vyama tujumuike katika thread hii kuombea chaguzi hizi.
  kwa kuanza naomba Mungu awarehemu wote waliotumia rushwa, matusi, nguvu katika kampeni zote, awape hekima wapiga kura ili wachague kiongozi bora, awape pia moyo na utayari wa kupiga kura kwa wote wenye kustahili kupiga kura. na pia aepushe aina yoyote ya fujo, wizi na uonevu katika zoezi loote.
  AMEN
   
 2. d

  dada jane JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ameeen. Mungu wa utukufu ukaudhihirishe utukufu wako.
   
 3. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tuendeleee kuomba hadi hali itakapokuwa shwari... tusichoke kuombea uchaguzi
   
Loading...