CCM yatetea kata ya Chang'ombe mjini Dodoma

Toka asubuhi nimesema kuwa itakuwa miujiza wagogo kubadilika, lakini ipo siku uponyaji wa fikra zao utawashukia na kubadilika
 
Kumbe huyu mtusi ni kabila la kimatonya hahahah duuh halafu kule kwao kumechoka ni noma watu wavivu kinoma hakuan maisha kabisa vijumba ndio hivyo duuh ukiambiwa huyu ti....go anajifanya ati ni kiboko yao wa matusi ama kweli si mlaumu kwani hata elimu yake ni ndogo sana kaishia la saba then ati kasoma kwa college ya Magamba kwa mwaka mmoja ni nomaaaa
 
ccm wamefauru kujenga ujinga kwa WA Tz that why.
Soon tutawakomboa walio ndan ya fikra hizo.
 
Na Arumeru mash vilevile CCM wametetea kiti chao maandalizi ya sherehe yanafanyika A Town.Nassari amekubali kusaini matokeo big up dogo kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa licha ya kushawishiwa usisaini.
 
kudadadeki hawa wataalamu wa matusi wameshinda?
sijui my wife saa hizi yupo wapi/ngoja nimcall.
 
Back
Top Bottom