Chakula cha msaada kupelekwa Arumeru Mashariki; kugawiwa Jumamosi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chakula cha msaada kupelekwa Arumeru Mashariki; kugawiwa Jumamosi??

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 31, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kuna kiasi cha magunia ya chakula cha msaada kutoka Hifadhi ya Chakuka tawi la Arusha kuelekea Arumeru Mashariki. Chakula hicho kimepelekwa huko masaa machache kabla ya uchaguzi mdogo siku ya Jumamosi. Vyanzo vya kuaminika kutoka makao makuu ya NFRA vinadokeza kuwa siku ya kesho chakula kitagawiwa ili kuonesha serikali "inavyojali" wananchi. Mbinu ya kugawa chakuka ili kuvutia kura imewahi kutumika kwenye chaguzi kadhaa huko nyuma.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Igunga walipeleka sukari, wakati huo nchi ikiwa kwenye crisis kubwa ya sukari, wanaIgunga wakadanganyika, wakauza utu wao in exchange of sukari...huh!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sirikali mufilisi utaijua.
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,531
  Trophy Points: 280
  Sorry Mkuu Mzee Mwanakijiji, I don't belive this!. Hifadhi ya chakula kwenye NFRA inatawaliwa na taratibu sheria na kanuni na sio utashi.

  Zipo sheria, taratibu na kanuni zinazotowala utoaji wa chakula kwenye hifadhi hiyo hivyo siamini kuwa kesho chakula hicho kitatolewa kugawiwa Arumeru!.

  Kufuatia joto la uchaguzi huu wa Arumeru kupanda sana, tutegemee all sort of conspiracy theories zikiwa fornulated ila sio zote za kuziamini, na hii ni moja ya hizo ambazo normal logic inanikataza kabisa nisiziamini kabisa, unless otherwise kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa ilishatoa taarifa ya kuwepo kwa janga la njaa na amiri jeshi mkuu akaridhia Arumeru kuna hali ya hatari kiasi kwamba chakula cha msaada kisipogawiwa by Jumamosi, Jumapili watu wote wa Arumeru watakutwa wamekufa!.
   
 5. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mh! Ngoja nilale! Huku kijijini kwetu hakuna umeme wala nini! Nachooooka!
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,531
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli hili lilitokea Igunga, then sukari hiyo ilitolewa na msamaria mwema mwenye mapenzi ya dhati na wanaIgunga ili angalau nao waonje japo chai ya siku moja ili ule uji wa chumvi nao upumzike kwa sababu, sukari sio moja ya vyakula kwenye hifadhi za taifa, kule ni nafaka pekee!.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Pasco,
  Nia yangu si kuchakachua thread ya MMKJJ, lakini unanishangaza un apoongelea joto la uchaguzi kupanda Arumeru!...joto lanini ndugu yangu?..wewe umeliona au unasimuliwa?
  Kwako wewe mshindi alipatikana tokea mgombea wa ccm alipotangazwa..sasa unaongelea joto kwa chama gani? Wewe ulisharule out ushindi wa chama chako, sasa ni conspiracy gani zinazokupa concern?
  Nakutahadharisha Pasco, especially kwa habari ya Arumeru, unaweza kupoteza heshima yako uliyoijenga kwa miongo isiyopungua miwili, ndani ya siku moja tu! ..Langu kwako ni hilo tu broda!
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Si msamaria..ni serikali!
  Itashindwa vipi kutumia meno yake kuamuru Mtibwa na Illovo watoe mifuko 6000 iende Igunga?....Pasco!
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Imani ni imani tu... zipo hadi namba za magari yaliyochukua chakula hicho. Kudai kuwa taasisi inaongozwa na "sheria na taratibu" ni kana kwamba umefumbia macho kabisa jinsi sheria na taratibu hizo zinavyotumika selectively. Kungekuwa na watendaji wanaofuata "taratibu na sheria" kweli kweli wala kusingetokea EPA, Meremeta, au yale tunayayoana kila mwaka kwenye taarifa za CAG.
   
 10. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Inashangaza sana kama hawahawa ndo walisign sheria ile kwa mbwembwe! Walifikiria pafupi leo wao ndo wamekuwa wa kwanza kuivunja
  waachane wagawe hicho chakula then tukimaliza uchaguzi tuwapandishe mahakamani
   
 11. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mkuu Pasco, with all respect mbona unakuwa kama mgeni Tanzania?

  Kanuni, taratibu na sheria zingekuwa zinafuatwa, matatizo mengi sana yangeepukwa. Kiukweli hapa kwetu kanuni, taratibu na sheria ni yale wanayotaka CCM. Kiongozi gani wa shirika la umma anaweza akataa maagizo ya chama na kubaki salama?

  Tukirudi kwenye mada. Haya mambo ni ya aibu sana, sikutegemea watu wazima kutaka kutatua matatizo ya muda mrefu kwa suluhisho la muda mfupi. This party is dead. Kauli zilizokuwa zinazotoka Arumeru zinaonyesha kwamba chama kiko "desperate" na "short of credible youth power". Wanaishia kupeleka mawaziri na wastaafu ambao wanatisha wananchi (Rejea kauli za wzr Nagu) na kuwaambia watu leo wamepata "silver bullet" ya miaka 50 ya matatizo (ardhi kurudisha etc), this is government corruption. Mwisho umefika.
   
 12. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Watanzania wenye njaa, huku wakubwa wao kijani wakila bata
   
 13. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mpeni mtoto wa mkubwa aendelee kula tena ,,sultani nyie si mmeshazoea kupigika everyday
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Kwenye jamii ya wajinga kama Wamasai hawa lolote linaweza kutokea na wala lisiwashangaze, hawa Edward Lowasa anawajuwa wanavyopenda nyama.

  [​IMG]
   
 15. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Pasco, je unajua kilichompeleka Arusha mkuu wa nchi usiku wa kuamkia jana na jana kuondoka kurudi Dar? Tafakari na chukua hatua. Nani anayefuata sheria za nchi ? Serikali ya CCM au? Unacheza wewe... Mara ngapi unaona vikao vya CC ya CCM vikifanyika Ikulu? Je hiyo ni halali ?

  Usishabikie tuu na kuona kuwa hayo mambo hayawezekani, kwani kwa serikali yetu hii ya CCM kila jambo linawezekana. Je hukumbuki Busanda watu walipelekewa nguzo za umeme zikalazwa tayari kuvutiwa umeme wakadanganyika wakawapa CCM kura kiko wapi? Baada ya uchaguzi nguzo zikaondolewa. Wanajuta kwa kitendo chao cha kudanganyika...
   
 16. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,344
  Trophy Points: 280
  Mkuu Pasco, mimi concern yangu ni hiyo ya sheria,kanuni na taratibu!

  Kama tungekuwa tunafuata sheria,kanuni na taratibu, hivi Kagoda, Richmond, Meremeta, Tangold, Jairo-gate,
  Idd Simba-gate, Yona-gate, Mkapa-gate n.k zilitokana na nini?
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Kipindi hiki cha uchaguzi gazeti la uhuru linatolewa bure kwa wakazi wa arumeru
   
 18. F

  FJM JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  MMJ amesema kuna chakula kimetolewa NFRA. Sheria aside - unataarifa gani kuhusu movement za ghala la chakula tawi la Arusha Pasco? Kwa jinsi ulivyoandika unaonekana kama una taarifa za ndani toka serikalini, sasa tuambie MMJ ni mwongo kwa kututhibitishia uwongo wake.

  Kwenye red: Tofautisha theory na practice. Ni sheria gani inayoruhusu majadiliano na wezi wa EPA? Tangu lini serikali ya ccm ikafuata sheria?
   
 19. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Mkuu Pasco umenishangaza kiasi nashindwa kuamini ni wewe kweli au umemwachia mtu mwingine hakika huyu si Pasco wa JF tunayemjua na mwenye uwezo mkubwa wa kujenga na kutetea hoja zake hata kama utetezi wenyewe umekaa kishabiki.

  Mkuu wangu ni ruksa kumshabikia Lowassa hiyo ni haki yako lakini haki hiyo isikufanye mpumb.vu.Najua upofuu umekuvamia ghafla kisa Lowassa yuko Arumeru.


   
 20. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Hakuna mtu mnafiki hapa JF kama huyo Pasco, ni oppotunist wa kwanza anamzidi hata Lowassa tamaa ya pesa..

  Sheria na taratibu my foot...

  Kuna mijitu inapenda sana kujidhalilisha na kuleta utani katika vitu sensitive kama chaguzi, aftarall alisha rule long time ago kwamba atashinda huyo gamba mwenzie so what a fuss, na kudhani kila taarifa ni conspiracy?

  Gamba ni gamba tu, na vijana wachumia tumbo tunawarecord as days goes...:violin:
   
Loading...