Miaka hamsini ya "Uhuni" sera ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka hamsini ya "Uhuni" sera ya CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaseko, Mar 31, 2012.

 1. K

  Kaseko Senior Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Miaka yote hiyo ccm walikuwa wapi? kuleta maendeleo kata ya Kirumba na Jimbo la Arumeru kama wana Meru wanataka kuona yaliyowapata wanaigunga kesho wasifanye makosa ya kuchagua ccm, Watanzania tumechoshwa na miaka hamsini ya Uhuni tulikuwa tunawapigia kura matokeo yake viongozi wetu wanakuwa matajiri wa kutupa na kuwa na matumbo makubwa.

  Miaka hamsini ya uhuni Tanzania kuwa koloni la ccm na kesho wanameru wasifanye makosa hata Nyerere asingechangiwa nauli ya kwenda kudai uhuru leo hii tungekuwa wapi sasa wajanja wakamtoa uhai ili wao wanufaike kupitia mgongo wake.

  Wanameru kuweni makini kesho ukiipigia kura chadema kesho na Nasari kuwa Mbunge utakuwa umechangia kuleta uhuru wa kweli na kudai mabadiliko ya kweli Tanzania Sio Nasari ataitetea Arumeru pekee na Arusha nzima pia na Tanzania katika kusimamia Rasilimali zetu zilizopokonywa na wajanja wachache.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Magamba ni fisi wanaogombania mzoga [ Tanzania??]. La hasha Tanzania sio mzoga tena, hatudanganyiki.
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  CCM ilizaliwa miaka 35 iliyopita mwaka 1977, hivyo kichwa cha mada kinakosa umakini.

  Kabla ya hapo kulikuwa na TANU na ASP(kama hujui ni Tanganyika African National Union na Afro Shirazi Party)

  Tanganyika ilipata uhuru December 1961, wakati Zanzibar ina historia ya uhuru na mapinduzi kuanzia January na April 1964.
  Sasa piga mahesabu yako na ukokotoe miaka ujue kuwa uhuru wa Tanganyika ndio una miaka 50.

  Kwa vile unaelekea umahiri wa uelewa wako wa habari ni mdogo naomba mwana CDM yeyote jamvini akueleze hata hiyo CDM ilianzishwa vipi na nani na ni lini.

  Tuache kuongea kwa unazi bila kuwa na an informed back ground,
   
 4. K

  Kaseko Senior Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wewe ndio unafanya unaz kutetea ujinga, TANU na ASP viliungana ili kuunda Serikali moja ya muungano ambayo ni SMT ili kutimiza matakwa ya Viongozi. Ile ilikuwa ndoa ya kipindi kile sasa CCM imeoa tena mwanamke anaitwa CUF kwa hiyo nikawaida yake kuoa oa, upo hapo?. Hivi nyoka akijivua gamba anakuwa sio nyoka? naona hujasoma tabia za nyoka ukisoma ndio uongeee sana.

  Asante.
   
 5. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Poor argument from poor thinker!
  Ni vigumu kutenganisha Ccm,TANU na Asp,ndio maana hata viongozi wako hujivunia majukwaani mafanikio ya Ccm kuiletea uhuru tanganyika,muungano nk!
   
 6. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kaseko badilisha title ndo ntachangia
   
 7. K

  Kaseko Senior Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwani mlitakaje
   
 8. K

  Kaseko Senior Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ulitaka iweje
   
 9. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,910
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Kwa mtu makini inaelekea Somo mlilopewa na LG hapo juu hamjalielewa.
  Tofautisha kati ya chama na serikali, na tofautisha kati ya CCM,TANU na ASP.
  Great thinking is not a slogan but a statement to be proven by any JF member through his/her postings

  Bila kufanya hivyo arguments zako zitakuwa zina zunguka mbuyu bila kufika a logical conclusion.
  Mfano tu wa logic:serikali na chama ni vitu viwili tofauti kabisa, ni Kama kulinganisha mbwa na binadamu
  wote wenye masikio mawili.
   
 10. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama hauna argument ya kuchangia kaa kimya. soma maoni ya wengine kama mimi na unapita. kwa hiyo wewe unajiona ni muhimu sana hati title ibadilishwe kwa ajili yako???? Title haibadilishwi, "MIAKA 50 YA UHUNI NI SERA YA CCM". Kaseko usibadilishe title kwa ajili ya mtu mmoja. Na aache kuchangia aone kama JF itaisha.....
   
 11. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Mkuu,CCM tunayo iona leo ni matokeo ya Tanu na asp!
  Huwez ukasema CCM ilianza 1977 kama ambavyo CHADEMA ilianza 90's!
  CCM KIMSINGI IPO TANGU MWAKA 1964 Baada ya muungano,kwan Asp na tanu vilifanya kaz kwa ukarib mno!
  Nadhan tunashndwa kuelewana hapo.
   
 12. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Bwana mudogo usi argue bila kuwa na an informed background maana unaonekana kuwa kichekesho.
  CCM na TANU ni vyama viwili tofauti japo vinashabihiana katika malengo.
  Kwa taarifa yako soma history kujua kwamba TANU ilianzia as Far back as 1954, wakati ambapo CCM haikuwepo wala kufikirika(hata wakati wa 1964).
  Bila kuelewa missingi ya Muungano(1964),kuanza kwa CCM(1977) na hata Kuanza kwa vyama vingi(1990's) vijana wa Leo mtakuwa mnaelea katika dimbwi la ujinga katika civics.
   
 13. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  na wajinga siku yao leo!

   
 14. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Huo ushabihiano ndio unao fanya kuwa vigumu kutofautisha CCM na wazazi wake hao!
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  leo ndo tutajua wameru wanadanganyika ama la?
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ASP na TANU si ndo hao hao ccm tofauti hapo walibadili jina tu ila member wakabaki wale wale sidhani kama kuna kosa kusema ndo hao hao walokuwepo madarakani miaka yote 50
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tatizo hapa siyo kwamba hajui ila ni mnazi wa ccm ndo maana anajitahidi kuitetea
   
 18. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Huo ndio uhalisia wenyewe!
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  hata hivi umechangia na inatosha kabisa
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Pia mbwa akibong'oka anakuambia kasimama ila binadamu akisimama kasimama kweli
   
Loading...