Polisi waongezwa usiku huu Arumeru Mashariki kushinikiza Siyoi kutangazwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi waongezwa usiku huu Arumeru Mashariki kushinikiza Siyoi kutangazwa?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mlingwa, Apr 1, 2012.

 1. Mlingwa

  Mlingwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  1. Kutoka ndani ya wana-usalama, Wana CCM wamejipanga kwa kila hali ili kuchakachua matokeo na kisha Sumari kutangazwa mshindi.
  2. Kuna magari yanaelekea Moshi standby kwa ajiri ya Sherehe, police wapo njiani kutokea Korogwe, Tanga, Handeni, Same na Mwanga kuimarisha ukandamizaji dhidi ya wapenzi wa CHADEMA,
  3. Wamejipanga kupitia kwa adengenye kuzuia mikusanyiko yoyote kuanzia usiku huu.

  My TAKE: Tuendelee kumtegemea Mungu for the fate of Arumeru East, lakini haki au Justice lazima itendeke.
   
 2. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  lazima mtu afe pale
  arumeru! Hawawezi kutucheze hawa ccm
   
 3. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nashindwa kuamini sawasawa kutokana na tarehe ya leo
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Msiogope watafurahi Arumeru wenyewe, hii siyo Zanzibar watu waende Shimoni Kenya patachimbika Arumeru.
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  chezea thithiemu nyie.....
   
 6. M

  Middle JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2007
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yamesha anza Ars
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  yameanzeje mkuu?
   
 8. M

  Middle JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2007
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mabomu yamesha anza
   
 9. M

  Middle JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2007
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yanapigwa kwa wafuasi wa Cdm,wameharibu gari la police
   
 10. G

  Godyp Senior Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jamani walio Usa kuna nini huko ktk taarifa ya habari TBC1 wamesikika wakimuuliza afande wa ulinzi ''vipi mbona nasikia milio ya risasi?''
  afande akasema '' labda vijana watakuwa wameenza fujo''
  tujuzeni basi kunani?
   
 11. Mlingwa

  Mlingwa JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ujinga mwisho ni saa nne asubuhi kwa mujibu wa sheria. na sio muda huu. Take action acha kujiuliza mara mbili. Huu ni ukweli.
   
 12. M

  Middle JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2007
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kuna mabomu yanapigwa
   
 13. S

  Shiefl Senior Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalieni jamani wasije wakatafuta mwanya wa kuanza kupenyeza kura zao za uwizi. Yaani CCM bwana.
   
 14. V

  Victor malisa Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  MUNGU MKUBWA the true color will be seen today
  :A S shade:
   
 15. m

  makkeys Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mpaka napata hofu! hawa majamaa lini watakubali kushindwa kwa roho safi tu?
   
 16. M

  Mahongole Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: May 5, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumuombe mungu alete amani
   
 17. k

  kajunju JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Tumuombe mungu.wana wa israel waliishi utumwani na musa ndiye aliwatoa utumwani kwa maelekezo ya mungu. Mungu aliwavusha red sea.mungu anatuongoza na nina uhakika atatuvusha. Wizi wa kura mwisho wake ni sasa
   
 18. a

  ajabu Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mbona watu wana hofu? Chadema lazima ishinde tumesha muomba Mungu, wizi hauta fanikiwa
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwani polisi kazi yao hamuifahamu?
   
 20. Jallen

  Jallen JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Mungu yuko upande wetu, tutashinda tu
   
Loading...