Mtangazaji wa Taarifa ya Habari (TBC1) na Tai ya Chadema! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtangazaji wa Taarifa ya Habari (TBC1) na Tai ya Chadema!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by ndegeulaya, Apr 1, 2012.

 1. ndegeulaya

  ndegeulaya Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari waungwana ?

  I must be honest with myself, kwa kweli leo nimeshangazwa sana na mtangazaji wa TBC1 Habari ya saa 1 asubuhi kwa kitendo chake cha kujitabanaisha na chama makini kwa kuamua kuvaa tai yenye rangi za bendera ya Chadema ndani ya Studio za TBC1.

  Nimeshangazwa na hilo, hasa nikizingatia kwamba, kwanza leo ni siku ya uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, na kwamba mbio za kampeni zilifungwa rasmi saa 12 jioni jana; na pili, kwamba, kwa jinsi inavyoaminika na wengi hapa jamvini ni kwamba kituo cha televisheni cha TBC1 kinaonekanaga kuwa na mtazamo hasi dhidi ya vyama vya Upinzani nchini, na hasa dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)!

  Karibuni wachambuzi wa mambo mtoe tafsiri zenu kwa kitendo hiki cha mtangazaji wetu wa leo!

  Source: TBC1 Habari (Jambo Tanzania)
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  Vaa kama mavaz mengine, hana taarifa kama ni rangi za chama fulani. Hata hivyo ungeweka link yake tukajadili kwa kitu tumekiona
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,616
  Trophy Points: 280
  Ustake kumharibia mtu kazi!
   
 4. M

  Malolella JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Foolish day
   
 5. ndegeulaya

  ndegeulaya Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa namna gani mkuu, em tufafanulie kidogo uchambuzi wako ...
   
 6. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,224
  Likes Received: 1,071
  Trophy Points: 280
  Weka picha mkuu!!
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Chadema ni Kama Maji,
  Usipoyanywa basi Utayaoga tu!!!!
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kwani ka kavaa kweli atavufukuzwa kazi????
   
 9. MLUGURU

  MLUGURU JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 80
  sishangai,yeye ni kioo cha jamii,hivyo anawaambia wana arumeru nini cha kufanya leo
   
 10. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  alikuwa anajaribu kuwakumbusha waliojisahau wasije wakapoteza haki zao zamsingi
   
 11. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  weka link mkuu
   
 12. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,187
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  Like! (ni via mobaile mkuu kitufe husika sina aksesi nacho)
   
 13. U

  Uswe JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mi sijamuona huyo mtangazaji na sijui unamuongelea nani ila jua kuna watu wengi tu mle TBC akiwepo mmoja ambae ni rafiki yangu wa karibu ambao hawa-support ccm, infact in wanaCDM isipokua kwa ajili ya ajira hawajiweki wazi.

  kuna tofauti kubwa kati ya taasisi na watu wanaofanya kazi katika taaisisi hiyo, wapo hata polisi, wanajeshi na usalama wa taifa ambao wanasupport vyama shindani
   
 14. Mkomamanga

  Mkomamanga JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 818
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kwanza hakatazwi na masharti ya ajira kuwa mwanachama wa chama chochote kikiwemo CHADEMA, pili pale studio siyo karibu na kituo cha kupigia kura kwa hiyo kuvaa vazi la chama hamshawishi mtu yeyote kukipigia kura chama fulani, na tatu jana Moleli aliaibika kwa kutangaza habari ya CCM halafu picha ikatoka ya CDM nadhani ndani ya TBC1 wanajuana sana na wanahujumiana. Huyu Moleli nadhani ametumwa na CCM hata kwenye kipindi cha magazeti akiona habari ya CDM anaificha au anasoma bila kuonesha picha yake. Sasa wenzake hasa mafundi mitambo wameshamstukia jana wakaamua kumfanyia walichofanya. Heko TBC1 hatuwezi kuendesha TV kwa kodi zetu halafu ikawa ni sehemu ya mfumo kandamizi kwa walipa kodi wake, ni sawa na kukata tawi ulilokalia ukiwa juu ya mti.

  Nimeshangazwa na hilo, hasa nikizingatia kwamba, kwanza leo ni siku ya uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, na kwamba mbio za kampeni zilifungwa rasmi saa 12 jioni jana; na pili, kwamba, kwa jinsi inavyoaminika na wengi hapa jamvini ni kwamba kituo cha televisheni cha TBC1 kinaonekanaga kuwa na mtazamo hasi dhidi ya vyama vya Upinzani nchini, na hasa dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)!

  Karibuni wachambuzi wa mambo mtoe tafsiri zenu kwa kitendo hiki cha mtangazaji wetu wa leo!
   
 15. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni CCM 72, CDM 132 wapiga 203, zilizoharibika 0.

  Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93,

  Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

  Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

  Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37

  Enguseni a CHADEMA 114 CCM 62

  Leganga CHADEMA 142 CCM 26

  Magadirisho1 - CHADEMA 116 CCM 37

  Magadirisho2 - CHADEMA 111 ccm 37

  s/m leganga - CHADEMA 142 CCM 26

  Majiachai A,B,C,D,E CHADEMA 573, CCM 276

  Kituo kingine Makiba, CHADEMA 23, CCM 95,

  Ofisi ya Kata Makiba CCM 107, CHADEMA 127,

  Shule ya Msingi Miembeni namba 01, CCM 103, CHADEMA 96

  Kikatiti CHADEMA 104 CCM 62

  Tengeru chuoni CHADEMA 114, CCM 24

  Tengeru hospt CHADEMA 220, CCM 40

  Kikuleto ofisini CHADEMA 104, CCM 84

  Makumira A = CHADEMA 118, CCM 42

  Makumira B - CHADEMA 100, CCM 42

  Makumira C - CHADEMA 92, CCM 50
   
 16. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Asee we unaumwa ugonjwa wa zinaa
   
 17. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  kitendo chake cha kujitabanaisha na chama makini kwa kuamua kuvaa tai yenye rangi za bendera ya Chadema ndani ya Studio za TBC1. Hakuna mtu au taasisi Duniani yanye Hati Miliki ya RANGI.
   
Loading...