Tuna Chochote Cha Kujifunza Huku? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuna Chochote Cha Kujifunza Huku?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by DALA, Apr 1, 2012.

 1. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Wakuu kwanza salaam!

  Ninafuatilia kwa karibu sana matokeo ya chaguzi hizi ukianzia ngazi ya kata na jimbo la Arumeru! Kimsingi ninaona ishara mbaya sana kwa CCM! Kiukweli hili linatakiwa liwe soma kwa chama, wananchi wamechoka na wako tayari kwa mabadiliko kwa gharama yoyote ile.

  Ni mtazomo tuu!
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kifo na mazishi vinaweza kutofautiana hata kwa miaka 10 lakini jibu linabaki moja tu kuwa hatuko nae tena.

  :yo::rockon:
   
 3. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hiyo mkuu, Thanks
   
 4. D

  Dewiny Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni ishara ya kuchoka sera kandamizi huku watu wakivaa ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu!
   
Loading...