mabomu yarindima Usa River

mshana org

JF-Expert Member
Jan 28, 2012
2,091
618
polisi wanapiga mabom mudahuu maeneo ya usa eneo linalotumia kujumuisha matokeo.lengo nikutawanya watu waliokua wakielekea halmashauri kusubiri matoke.pia watu kadhaa wameumia kwenye vurugu hizo bado niko hapa nikiendelea kufatilia ila hali nimbaya kwa sasa
 
Back
Top Bottom