Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mbutalikasu, Apr 1, 2012.

 1. m

  mbutalikasu Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mwenye matokeo kamili ya arumeru mashariki atujuze maana huku niliko wamekata umeme hawa wasanii
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa huko chedema wako juu sana....
  CCM wanajitahidi kufanya mbinu chafu za kuiba kura ila wanakamatwa sana.....
  tuombe kwa pamoja waendelee kushindwa majaribio yao....
  Sikiliza Capital Radio wako live na hawana kupindisha chochote....
  Niukiweza ntawaletea video za yaliyojiri Arumeru
   
Loading...