Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndio! wale wote walioko madarakani kwa kuiba haki ya watanzania kwa kuchakachua kura ambazo ndio sauti ya watu ni bora itokee kama Arumeru ili haki itendeke kwani mahakama zetu zinaonekana kuto...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Kuanzia saa saba kutakuwa na mkutano mkubwa wa kuwashukuru wana Arumeru Mashariki walio kubali Mabadiliko. Utafanyika Uwanja waa Ngaresero Usa River,pale walipo zindulia kampeni CCM na ndipo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana bndi,nimeamini chama cha siasa chenye nguvu ni kile ambacho kinashirikisha wanachama na wananchi katika mipango na taratibu zote za ufanisi wa ujenzi na utekelezaji wa sera za chama.Mimi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza nitoe pongezi nyingi kwa CHADEMA kwa ushindi huu wa kishindo. Ni muda mrefu sana tumekua tukisubiria ushindi wa CHADEMA kwenye changuzi ndogo, walau leo yametimia. Sasa nafikiri ni wakati...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kaka yangu Mwigulu, Awali ya yote nikupe pole kwa kupoteza Jimbo la Arumeru Mashariki kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kaka, Utakumbuka tangu mchakato wa Kura za Maoni, kulikuwepo...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya ushindi mzito wa udiwani na arumeru ni ishara nzuri ya chama kukubalika zaidi. Ushauri wangu kwa viongozi ni kuorganize kampeni kubwa kama operation sangara ya nchi nzima hasa wilaya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika hali ya kawada naomba nitume rai yangu kwa viongozi wetu wa chadema kuacha mara moja mazungumzo ya siri waliyonayo na lowasa,kwani watanzania hawatakielewa chama chao wanachokipenda...
0 Reactions
97 Replies
9K Views
wana jamii natafuta matokeo ya chaguzi zote kwa ujumla mbunge na madiwani kama kuna msaada unaweza patikana please
1 Reactions
0 Replies
957 Views
Wanajamiiforums, baada ya matokeo ya uchaguzi wa jimbo la Arumeru Mashariki kutangazwa na mgombea wa CDM Joshua Nasari kuibuka mshindi, mimi nina mawazo yafuatayo: Wananchi sasa hivi wameanza...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ushindi wa CDM Arumeru mashariki ni ishara kwamba hata huyo B.W.Mkapa ambaye magamba wanamuona kama mungumtu wao kwenye jukwaa la kampeni. Kwa kweli kila jambo na wakati wake. Huyu gamba kuu...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
kitendo cha wabunge wawili wa chadema kuvamiwa na kupigwa sii kizuri. sharti wabunge wote wa chadema wapewe ulinzi wa kutosha na chama. mbunge mmoja wa chadema ana dhamani kubwa saana kwa taifa...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
inaeleweka muda mwingi Nappe amekua akimtuhumu lowassa kwamba ni fisadi na anatakiwa kujivua gamba na iko wazi kwamba nappe hakuumunga mkono sioi kwenye kura za maoni na ndio maana uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Hongera CHADEMA kwa kuchukua jimbo la arumeru, mmeua big up Nassari, kilichobaki sasa ni kutekeleza ahadi watu hawataki porojokama za CHUKUA CHAKO MAPEMA ilo linazidi kutokea, BIG UP wana Arumeru...
1 Reactions
2 Replies
897 Views
Wanabodi, Kwa mujibu wa habari kutoka kwa wakazi wa Arumeru Mashariki wanasema mgombea wa Chadema Joshua Nassari, nafasi yake ya kuchukuwa kiti cha ubunge ni ndogo sana. Katika mila zao...
3 Reactions
189 Replies
16K Views
familia ya ndugu ARUMERU MASHARIKI inafurahia kutangaza kifo cha ndugu CCM, kilichotokea USARIVER tarehe 1.4.2012 kwa kurambwaaaa na CHADEMA, habari ziwafikie KIKWETE, MKAPA, LOWASA, KIJANA...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
da!
Chadema muikomboe wizara ya madini, afya, elimu,na mambo ya ndani
0 Reactions
0 Replies
700 Views
huyu Mr angekuja kutoa ufafanuzi wa kauli yake hii... " By Mwigulu LM Nchemba: Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na...
0 Reactions
3 Replies
838 Views
inasemekana alipata kura 2 sasa kama wanachama wenzake hawamuamini arumeru mnamuamini vipi?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hello JF members ninayo furaha kubwa kujiunga na mtandao wawanajamii kutoa michangao mbalimbali ya ukombozi wa nchi yetu na bara la Africa. Kwa leo napenfa kuipa hongera Mh, Nasari, viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Yaliyotokea 2010 komaeni yasitokee kabisa Arumeru. Shilembi (CDM) alimshinda Masele(CCM) lakini kuna mkubwa mmoja alialzimisha matokeo yawe kinyume nyume, ila damu ilimwagika. hadi leo huyo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…