Jamani kata hii ya daraja mbili katika manispaa ya Arusha haina diwani kwa muda wa miezi mitano sasa. Hii ni kutokana aliyekuwa diwani wa ccm kufariki dunia mwaka jana.
Kwanini tume ya uchaguzi haitangazi kuwa nafasi hiyo ipo wazi?
Usihofu mkuu, uchaguzi wa D bee utaunganishwa na zile kata tano za wale madiwani tuliowavua udiwani kwa utovu wa nidhamu.