CHADEMA wamejaribu, wameweza, sasa wanasonga mbeleeee!!

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
693
212
Na mimi katika kuwasapoti, naanzisha operesheni maalum ya kufungua ofisi za matawi ya CHADEMA katika kila kata wilayani MKURANGA....2015...........MALIMA.....(wa ccm)..OUT...!!!

Pipoz........ Power....!!!
 
Binafsi nitapita nyumba kwa nyumba kuelimisha watanganyika wenzangu haswaa kina mama!
 
Arumeru wazee wamelalamika eti watoto wote wameharibika; kisa wanapiga yowe wakiona sare za kijani, halafu katika michezo yao wanasema 'pipoz...pawaaa'
 
Back
Top Bottom