Dr slaa 2015 utaapishiwa wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr slaa 2015 utaapishiwa wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzee wandimu, Apr 2, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  WAKUU!
  DR W.P.SLAA. sherehe za ushindi wako tutafanyia wapi? make kwahali niliyoiona leo pale LEGANGA! wakati wa sherehe za ushindi wa JOSHUA NASSARI! watu walikuwa wengi sana pamoja na ile mvua! sasa wewe RAISI tutafanyia wapi? UWANJA WA TAIFA HAUTOSHI!
  come 2015!
   
 2. S

  Sinag Man Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  viwanja vya Kurasini
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...