Pendekezo la Jina katika tume ya katiba

rimbocho

Member
Jan 11, 2010
73
3
Mimi kwa mtazamo wangu nimekuwa nikimsikiliza sana Mkuu wa chuo cha St.Augustine Dr. Charles Kitima, naona huyu bwana ana vision nzuri kwa taifa hili la walalahoi, natumia jina la walalahoi kwa sababu kila mtanzanzania anapoamka anakuwa na mawazo mapya na kusahau yale ya jana.

Hivyo mimi na mpendekeza Dr. Charles Kitima,


Nawasilisha
 
Back
Top Bottom