Lowasa:niko fiti kwa mapambano.

MANGUNGO

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
1,536
352
Wana jf tutathmini kauli ya baba mkwe wa sioi sumari kuwa yuko fiti kwa kupambana.je,ameweza arumeru?vp 2015 ataweza?
 
Labda zile fedha alizowaibia watz kupitia richmonduli/dowans na epa asiendelee kugawia makanisa na misikiti.
Tatizo lowasa bado anaamini wartz wanadanganyika kwa pilau na kofia na ameandaa pesa nyingi kwa ajili ya hiyo kwa kuanzia amefanya arusha. Namshauri ahamie cuf.
 
Najua anahofu na asha migi, atatapanya mijihela kumpambana, mwishowe nguvu zitampungukia, too much concetration inamzeesha, ataibiwa na matapeli wanaojua nia yake na kuzichanga karata vema kuvuta mkwanja. kimsingi hawezi mapambano.
 
By-inference he have failed. I hope sooner he'll emerge in a public and declare his failure. Usiendelee na mapambano Edo. Bye bro!
 
Dawa ya ze so called vigogo wanayo cdm bwana. Ka bwana mdogo kameangusha watu waliodhani ni untachable. It is a very good political homework for those wanaodharau wananchi.
 
EL is a political liability to CCM. Why can't they see this very simple reality?
Mgombea mwenye bulungutu ya kitutosha kuwabwaga wengine wote ndani na nje ya CCM.
Hii ya Arumeru,home graundi ilikuwa bahati mbaya tu.
Mtamwona 2015-pesa mbele.
 
Back
Top Bottom