Dr Slaa ana mchango mkubwa ushindi wa Chadema Arumeru.

Gurti

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
211
59
Gazeti la raia mwema liliandika kuwa Arumeru ni mpambano kati ya mtandao wa fedha na Dr Slaa. Pia hapa jamvini kuna watu wanasema kuwa 2015 ni mapambano kati ya Lowasa na Dr Slaa. Je, haya ni ya kweli? Nini maoni yenu wanajf.
 
Huo ni mtazamo wa watu, lakini ukweli ni kwamba CHADEMA ni chama makini, chenye sera zinazotekelezeka na uongozi imara
 
Acheni utani jamani.Dr Slaa huwezi kumlinganisha na yeyote CCM
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Gazeti la raia mwema liliandika kuwa Arumeru ni mpambano kati ya mtandao wa fedha na Dr Slaa. Pia hapa jamvini kuna watu wanasema kuwa 2015 ni mapambano kati ya Lowasa na Dr Slaa. Je, haya ni ya kweli? Nini maoni yenu wanajf.

Dr Slaa ana mchango mkubwa wa kuikomboa Tanzania Including ZNZ na si Arumeru tu...

Dr Slaa Kaokoa fedha nyingi sana za kifisadi including Rada, Epa na kuhakikisha ile speed ya Chukua Chako mapema inapungua na kufikia iliko fika.

Kwa ajili ya Dr Slaa JK na wakubwa kibao wanaogopa kujiingiza kaatika ufisadi mkubwa kwani taarifa atazipata hata kama kika cha hiyo mission inafanyikia Ikulu...

Dr Slaa ndiyo aliwapa Confidence hawa vijana wadogo kuzungumza kwa ujasiri na kuwataja mafisadi hadharini kama alivyofanya Mwembe yanga 2007..

Dr Slaa hata kina nape na wenzake wanataja hadi Lowasa, RA na Chenge ni Mafisadi kabla ya hapo wasingeweza na hata kama wangejaribu basi wasingeweza kuchukua Round... Mnaelewa namaanisha nini....

Kwa hiyo Dr Slaa ni Next Level.. Labda kafuatiwa na Mbowe kwa sasa ndiyo ana ujasiri wa kiwangi hicho ila tu bado kaumri ndiyo hakajafikia kwenye wa Dr Slaa.
 
Sahihi Dr. Slaa ni kila kitu ndani ya tanzania bara na hata visiwani, tuache utani huyu mtu mimi kwa mtazamo wangu namlinganisha na Mwl. Nyerere kwa vile ni mzalendo wa kweli na hupo ka ajili ya manufaa ya watanzania. Tumuombee kwa mungu.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Dr Slaa ana mchango mkubwa wa kuikomboa Tanzania Including ZNZ na si Arumeru tu...

Dr Slaa Kaokoa fedha nyingi sana za kifisadi including Rada, Epa na kuhakikisha ile speed ya Chukua Chako mapema inapungua na kufikia iliko fika.

Kwa ajili ya Dr Slaa JK na wakubwa kibao wanaogopa kujiingiza kaatika ufisadi mkubwa kwani taarifa atazipata hata kama kika cha hiyo mission inafanyikia Ikulu...

Dr Slaa ndiyo aliwapa Confidence hawa vijana wadogo kuzungumza kwa ujasiri na kuwataja mafisadi hadharini kama alivyofanya Mwembe yanga 2007..

Dr Slaa hata kina nape na wenzake wanataja hadi Lowasa, RA na Chenge ni Mafisadi kabla ya hapo wasingeweza na hata kama wangejaribu basi wasingeweza kuchukua Round... Mnaelewa namaanisha nini....

Kwa hiyo Dr Slaa ni Next Level.. Labda kafuatiwa na Mbowe kwa sasa ndiyo ana ujasiri wa kiwangi hicho ila tu bado kaumri ndiyo hakajafikia kwenye wa Dr Slaa.

nakubaliana na wewe kwa 110% kuhusu mchango na umuhimu wa slaa ndani ya chadema.
nadhani (i stand to be corrected) chama hiki kilipata wafuasi wengi zaidi mara baada ya slaa kuteuliwa kuwa mgombea urais 2010 - hakuna haja ya kupoteza muda kurudia hapa sababu zilizopelekea support hii kubwa kwa slaa kwani ni public knowledge.

most importantly, mimi binafsi nilivutiwa sana na modesty and innocence ya dr slaa.

kwa upande mwingine, however, mimi nadhani focus ya wanachadema ijikite zaidi kukifanya chama kiwe sustainable. kisitegemee sana individuals na kuwajaza vichwa kwa sifa (remember kwenye siasa hakuna permanent enemity/friendship - imagine, kiongozi anayeabudiwa leo akiwa chama A kesho akienda chama B itakuwaje, mtamfuata?). a party therefore needs a well manicured infrastructure. na moja ya pillars kutengeneza a formidable party infrastructure ni ku-exercise modesty to the highest degree possible (watu watakiamini sana chama kuwa ni chama chao - just like we trusted dr slaa in 2010).

i think that's what chadema should be striving to get at now that the 2015 political helm is theirs to lose.
 
Back
Top Bottom