Siku zote nguvu ya umma huwa haishindwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku zote nguvu ya umma huwa haishindwi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Anna Jordan, Apr 2, 2012.

 1. A

  Anna Jordan New Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumeshuhudia ktk uchaguzi mdogo Arumeru jinsi nguvu ya umma ilivyofanya kazi kupata mbunge stahiki. Watanzania yabidi tujifunze kutoka jimbo la Arumeru mashariki kwamba hakuna kinachoshindikana pawapo na nguvu ya umma. kwajinsi hii, mabadiliko yatapatikana,
   
Loading...