Kushindwa kwa CCM Arumeru; Udhaifu wetu umeisadia Chadema kushinda.

Royals

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
1,466
378
Tulipodhani dharau, matusi, kejeli na jeuri ya pess kama ni njia ya kushinds uchaguzi kumbe wenzetu waliliona hilo na kuamua kusema ukweli wa mambo jambo lililowafanya wameru wale wawaamini.
Siku ya ufunguzi walipomskiliza katibu mkuu na mzee Mkapa wakihangaika jukwaani wao walisema waache waseme mchana usiku watalala.
Akina Mwigulu, Lusinde, Olesendeka na wengine wengi wa CCM wakijinadi kwa hayo Wameru. wale waliona hamnazo na kufikia kusema " KULA KWA CCM, KULALA CHADEMA" Tafsiri yai ilikuwa kwa kule Ccm kunaliwa basi waliwaita nendeni, wakichekesha jikwaani chekeni lakini mjue siku ys siku mtalalia wapi.
Kama kungekuwa na busara hata kidogo tu ya kupinguza matusi yale basi bila shaka udhindi ungekuwa wetu. Hata hivyo asiye sika la mkuu huvunjika .......
 
uko sawa, hawakujua wana arumeru wanapokeaje kejeli zao na matusi. walichopokea ndicho wamekijibu jana.
 
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1694.jpg
First Name: Livingstone
Middle Name:Joseph
Last Name:Lusinde
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mtera
Political Party:CCM
Office Location:Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mbigili Primary SchoolPrimary Education19801987PRIMARY
CCM College IhemiCertificate20072008CERTIFICATE

CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency20102015

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007
CHADEMAMember - National Executive Board1995
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency19921995
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary
 
...shukrani za pekee kwa Lusinde. Amesaidia sana kufanikisha ushindi wa CHADEMA. Nadhani pamoja na ujinga wake wooote...kwa hilo alilolifanya la kuja kuonyesha ujuha wa wana-CCM,Lusinde anatakiwa kuingizwa kwenye list ya waliofanikisha ushindi wa Chadema!!
 
MBONA HII CV SIIAMINI HUYU KIJANA WA DARASA LA SABA (LY), ALIYAJUAJE YALE MATUSI, YAMO KWENYE SYLABUS YA IHEMI????, AU EXPERIENCE ALIYOPATA AKIWA TARISHI WA CCM;
KIDUMU CHAMA CHA MATUSI
:rockon:
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1694.jpg
First Name: Livingstone
Middle Name:Joseph
Last Name:Lusinde
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mtera
Political Party:CCM
Office Location:Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mbigili Primary SchoolPrimary Education19801987PRIMARY
CCM College IhemiCertificate20072008CERTIFICATE

CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency20102015

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007
CHADEMAMember - National Executive Board1995
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency19921995
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary
 
...shukrani za pekee kwa lusinde. Amesaidia sana kufanikisha ushindi wa chadema. Nadhani pamoja na ujinga wake wooote...kwa hilo alilolifanya la kuja kuonyesha ujuha wa wana-ccm,lusinde anatakiwa kuingizwa kwenye list ya waliofanikisha ushindi wa chadema!!


usijali mkuu huyu ni mwezetu sema kichwa chake tu alipoamka kikakosea kucalculate date akajua ni mwaka 1995
, ndo maana akafanya kazi ya watanzania ndani ya mafisadi,

tumuombe hard disc yake izidi kujiformat kila mara
 
Huwezi ukamwita mtu fisadi halafu huyo huyo fisadi ukampandisha jukwaani kuomba kura. Huyo huyo unaetaka kumvua gamba ukiwa na njaa una mwita shujaa. Huyo huyo uliemfedhehesha ghafla ageuke kuwa faraja. Unauza ardhi halafu unasema kesho nitairejesha na hali wajua uliowauzia wana hati tayari. Mbaya zaidi wanaosema hayo walikuwa marais na mawaziri wakuu. Walikwina? Ccm were mocking people and mocking democracy and if still they will mock chama kitazimia. Hivi kweli tumefika mahali badala ya kuzungumza mafanikio waziri ana kata mauno jukwaani. Hivi watanzania watakula mauno? Au tunadhani tukisha wakatia mauno ndio tutaöna wanafaa kuongoza? Ya arumeru mhg! Na mwanza tunasema hapana Ngeleja. Ngeleja na sitta wameshindwa mza, Ben, ole sendeka na El wameshindwa arumeru na kilango kashindwa kiwira. Wote mabingwa wanaopigania wasichokijua. Wamesahau ilani na ahadi za CCM. Kazi ipo
 
nilisikia jamaa ana PHD,nilishangaa saNa,nakumbuka nilisema kama kweli Lusinde ana PHD,walio mpa ninawalakini nao,navyo jua mimi hata STD Seven wenzake kama kina Prof majimarefu maisha yao yote pamoja na uchakaramu wao hawaja wahi kutukana hivyo.
Hivi huyu jamaa alisha wahi kupiga debe stend?,maana wapiga debe ndio lugha zao zile...
 
Ccm ya mwalimu kile chama tukiimba na kusifu si chama bila mwalimu. Kimekwenda arijojo. Wakitakao si chao ni wataka mali ni wataka ukulu na kusifiwa wangwani si waumwa na watu hohe hahe walo na njaa. CCM imekuwa mwiba kila munu anakwiba. Sasa tuwambile nini Julius na Rashidi? Tuseme tumejenga sana tukikatika mauno? Au tumechoka sana na dira tumepoteza?
 
CV nyingine bwana. Ingekuwa mimi Lusinde nngekufa kiume.
 
Back
Top Bottom