Nape na pongezi za unafki

Mifumo

Member
Mar 29, 2012
11
0
Nape kwa niaba ya ccm amejitokeza kumpongeza Nassar lakn hii inatafsir gan ukzngatia na maneno ya kashfa waliyotoa dhid ya Nassar,Nape anasema uchaguz ulikuwa huru na wa haki wakat wao wali2mia mbinu zote kuhakikisha chadema hawashindi..chadema tunasema ha2tak pongez za magamba..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom