Wana JF nipo katika mkutano wa CCM katika kijiji cha Ngabobo Kata ya Ngarenanyuki jimbo la Arumeru na mhutubiaji mkuu ni Ole Sendeka mbunge wa Simanjiro na Stephen Wassira Mbunge wa Bunda...
Peeeoples ................ Nianze kwa kusema ID yangu isiwape tabu, nimehamia CDM juzi. Nimeona baadhi ya wana JF wanajaribu kujiuliza kilichoiangusha CCM...
GT
Hivi haya magazeti leo yameandikaje maana walishatangaza ushindi wao wakiongozwa na BWM, wakati huohuo Nape akionuesha wazi kutompenda Siyoi
Nawasilisha
Vyombo vyetu vingi vya habari Tanzania havina maana ya kutenda haki.Vimekaa kimya mno juu ya shambulio la kudhuru mwili lililofanywa kwa Wabunge wawili wa CHADEMA: Highness Kiwia(LEMELA) na...
Akiwa anatokea kwenye hotel USA alikutanana na vijana CDM baada yakuweka vijana walinzi usuku kucha Lusinde ndo alitoka na mabokisi manne yenye picha za TV lakini ndani kulikuwa na mabox ya...
Habari wana JF,
Nimekuwa nikifuatilia kwa kiasi mambo ya arumeru na nimeona machache ambayo ningependa ku share nanyi. Kwanza sikuamini kabisa kama Nassari angeshinda na haikuwa pendeleo langu...
Judge mzee Lubuva
hongera kwa kyanza vema na kupasi mtihani wako wa kwanza japo kulikuwa na dosari ndogondogo kama kuzuia matumizi ya vyombo vya usafiri(chopper) na matumizi ya matusi ingawa hili...
kitendo cha Mimi Mwanakijiji kutangaza kuwa cdm imeshinda Arumeru kinaweza kikamghalimu kwani ametoa madai yake basing on few counted centres wakati vituo ambavyo mpaka sasa vimeshapokelewa...
Chama Cha Mapinduzi, kimeyapokea matokeo ya kura zilizopigwa na kutangazwa na tume ya Taifa ya uchaguzi kwa chaguzi ndogo zote, ule wa Arumeru Mashariki na zile za kata nane zilizofanyika jana...
"Sumari hakuwa chaguo la wana Arumeru" ni kauli ya(SITTA) mwanamagamba mkongwe mwenye njaa kali ya Uraisi.
USHINDI WA CHADEMA ARUMERU ANGUKO KUU LA CCM TANZANIA.
Kwa sitta ushindi wa...
naomba kujua utaratibu wa kufaili complain dhidi ya Livingstone Lusinde kwenye tume ya maadili ya viongozi please
naomba website au kama unafahamu taratibu please naomba msaada wako ili tutoe...
Nimeona picha hizi katika Mtungo wa Michuzi nikaona ni vyema niwashirikishe.
matukio-michuzi: chadema washerehekea ushindi wao wa kiti cha ubunge arumeru mashariki leo
Kama ilivyo ada kwamba ccm inapopoteza jimbo sehemu hukaa chini na kujitathimini kuona walijikwaa wapi. Tatizo la msingi ambalo magamba hawatakaa walitatue ni kutokuwa wakweli, hawatoi sababu za...
Kama kuna chombo ningekifukuza na wangekataa kutoka ningewamwagia tindikali ni tbc taifa
televission na redio hizi zimekuwa mstari wa mebeele kuonyesha matukio ya kampeni za ccm tu lakini cha...
Yafuatayo ndiyo yatakayoifanya Ccm ipotee kwenye ramani ya siasa za Tz kama matokeo ya jana yalivyoashiria.
1. umimi, mnafanya chama na serikali ni zenu na familia zenu. mnapeana vyeo tuu,
2...
JF members, this is special salutation with regard to my new presence in this forum, hope you will share with me your experience in all aspects. Thanks to all great thinkers.