Kauli za Kikwete na Sita, je wapo timu moja?

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,119
wanaJF, embu nipeni mawazo, hawa jamaa ni timu mmoja au wanatuchanganya? Wakati rais amesikika katika redio mbao akisema kuwa angependa rais ajae awe mdogo kiumri kuliko yeye. Sitta ambaye anaonekana hata kwa macho tu kuwa ni mzee kuliko kikwete anatangaza nia ya kugombea 2015. Je hawa wapo pamoja au kila mtu kivyake?
 
SITTA yuko CCJ mbona iko wazi......anakatalia CCM anatunisha tumbo lake tu ndio maana hataki kwenda chama chenye msimamo kama wake.

Jk kamwacha kama mtoto mtukutu aliyeshindikana huwezi kumfukuza nyumbani na kudai si mtoto wako
 
Kwani JK akitangaza ni Mungu ametangaza? JK alitoa maoni yake na Sitta amesema nia yake. Tatizo liko wapi
 
wanaJF, embu nipeni mawazo, hawa jamaa ni timu mmoja au wanatuchanganya? Wakati rais amesikika katika redio mbao akisema kuwa angependa rais ajae awe mdogo kiumri kuliko yeye. Sitta ambaye anaonekana hata kwa macho tu kuwa ni mzee kuliko kikwete anatangaza nia ya kugombea 2015. Je hawa wapo pamoja au kila mtu kivyake?
nafikiri ukirudia hapo kwenye red na blue taratibu utaelewa, kikwete hatuchagulii na mapenzi yake sio yetu, yeye anampenda el sisi hatumpendi n.k
then kila mtu ana mawazo yake, hata wewe ukitaka tangaza kugombea bila kujali umri wako.;..
 
Back
Top Bottom