Wabunge Kupimwa Akili - Nani Awe wa Kwanza Kupimwa Akili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge Kupimwa Akili - Nani Awe wa Kwanza Kupimwa Akili?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, Jul 30, 2011.

1. Ndallo

Ndallo JF-Expert Member

#1
Jul 30, 2011
Joined: Oct 1, 2010
Messages: 7,129
Likes Received: 1,083
Trophy Points: 280
Wakuu habari za weekend? wakati najiaandaa kwenda bafuni kuoga na kwenda kazini kutafuta riziki, katika kusikiliza redio moja maarufu katika kipindi cha nipashe nimesikia wakimnukuu mbunge mmoja akiwa anawasilisha hoja na mapendekezo kua anataka wabunge wote wapimwe akili! sasa cha kunishangaza kati ya wabunge hao hata muheshimiwa spika naye si mbunge? naomba kuwasilisha hoja hii na swali la papo kwa papo je ni mbunge gani awe wa kwanza apimwe akili kati ya wabunge wote akiwapo na spika mwenyewe? Nawasilisha na weekend njema wote.

2. O

Omr JF-Expert Member

#2
Jul 30, 2011
Joined: Nov 18, 2008
Messages: 1,160
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
waanze na Lema, hapo kuna dalili zote za msuba

3. K

Kifuna JF-Expert Member

#3
Jul 30, 2011
Joined: Aug 7, 2008
Messages: 426
Likes Received: 6
Trophy Points: 35
Wa kwanza awe huyo mtoa hoja (Mh Lusinde) baada ya yeye kupimwa afuatie na mh six.

4. Shinto

Shinto JF-Expert Member

#4
Jul 30, 2011
Joined: Dec 6, 2010
Messages: 1,781
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
Nadhnai wabunge wa CDM waanze! Pia waangalie quantity ya THC kwenye blood! Naona ndumu imeshika kasi bungeni!

5. O

Omr JF-Expert Member

#5
Jul 30, 2011
Joined: Nov 18, 2008
Messages: 1,160
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
si unajua tena mambo ya Arusha, bila kustua siku haijaanza.

6. Pascal Mayalla

Pascal Mayalla JF-Expert Member

#6
Jul 30, 2011
Joined: Sep 22, 2008
Messages: 24,552
Likes Received: 18,233
Trophy Points: 280
Kifuna, naungana na wewe, kuwa kichaa siyo mpaka aokote makopo, huyu Lusinde ni kichaa ila hakijalipuka!.

7. Ndallo

Ndallo JF-Expert Member

#7
Jul 30, 2011
Joined: Oct 1, 2010
Messages: 7,129
Likes Received: 1,083
Trophy Points: 280
Duh! watu wa Arusha ni washtuaji msuba???!

8. r

reformer JF-Expert Member

#8
Jul 30, 2011
Joined: Jul 22, 2011
Messages: 387
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Wabunge wa CCM wote wapimwe akili..maana wanaongoza kwa kulala bungeni kama mateja. Pia wanaongoza kuongea pumba kuliko maelezo hadi unashindwa kuelewa kama wanafikiria kwa ubongo au matumbo. Zaidi ya akili wapimwe na ngoma..manake asilimia kubwa ya wabunge wa CCM na mafuska kupita maelezo.

9. l

lebabu11 JF-Expert Member

#9
Jul 30, 2011
Joined: Mar 27, 2010
Messages: 1,648
Likes Received: 514
Trophy Points: 280
Wanaounga mkono hoja 100% baada ya kuchangia kwa kutaja mapungufu 90%!

10. Mungi

Mungi JF Gold Member

#10
Jul 30, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 441
Trophy Points: 180
Namba moja awe mkuu wa kaya

11. Mungi

Mungi JF Gold Member

#11
Jul 30, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 441
Trophy Points: 180
kweli na wewe akili zako ziko left hand. kwanini wasianze na wabunge wa magamba ambao wanaiponda bajeti yote, mwishowe wanaunga hoja 100% kama lusinde. lakini Mkuu wao wa kaya awe wa kwanza kabisa

12. Tuyuku

Tuyuku JF-Expert Member

#12
Jul 30, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 3,149
Likes Received: 1,405
Trophy Points: 280

Naunga mkono hoja.

13. Mungi

Mungi JF Gold Member

#13
Jul 30, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 441
Trophy Points: 180
Mkuu Ndallo,

tatizo ukiwa mpigania haki lazima utaonekana mvutaji wa bangi kwa wale wenye mringo mwingine wa maslahi.
kumbuka kuwa Arusha ndiyo itakayokuwa mwanzo mwema wa nchi hii kupata ukombozi wa kweli. namba mbili tarime

14. Mkuu wa chuo

Mkuu wa chuo JF-Expert Member

#14
Jul 30, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 7,253
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
waanze magamba, wafuatie cuf, wafuatie TLP na UDP, hawa wa Chadema na NCCR waachwe maana akili zao zipo sawa kabisa!

15. u

ugawafisi Senior Member

#15
Jul 30, 2011
Joined: Jul 22, 2011
Messages: 127
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

waTz wengi hushindwa kujibu maswali kwa usahihi kwasabu hawaelewi maswali wanayoulizwa na hukurupuka kuyajibu. Sasa mkuu wa kaya ni mbunge? Wewe pia unajiita great thinker? Mmh!

16. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#16
Jul 30, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,276
Likes Received: 19,423
Trophy Points: 280
sio wabunge tu.. waanze na mkuu wa nchi kabisa...haiwezekani akae kwenye wizara ya nishati kwa miaka 10 +awe rais miaka 6b then aje aseme kuwa mashine za umeme sio kama koti la suti......huyu ni mzima????

17. DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

#17
Jul 30, 2011
Joined: Nov 13, 2009
Messages: 11,582
Likes Received: 4,692
Trophy Points: 280
Wabunge wote wa CCM wapimwe kwani hawajui kwa nini wako bungeni, kazi wanayoijua ni kuzomea, kupiga vigelegele, kuomba mwongozo wa spika ili kuzuia mtiririko mzuri wa hoja toka upinzani, yaani hawa wako kama wana mtindio wa ubongo.

18. M

Magarinza Senior Member

#18
Jul 30, 2011
Joined: May 9, 2008
Messages: 122
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Wabunge wote wa ccm akiwemo Pinda, Makinda na Ndugai hawana kabisa akili hivyo hawawezi kupimwa.

19. Adrian Stepp

Adrian Stepp Verified User

#19
Jul 30, 2011
Joined: Jul 1, 2011
Messages: 2,222
Likes Received: 596
Trophy Points: 280
acha UPOMPOMPO, Rais ni sehem ya bunge hivo ana uwezo wa kuingia bungeni muda wowote ndio maana maalim alipoingia bungeni ilitolewa hoja ya kuingia kwa ke kwasababu si mbunge, hivyo rais ni mbunge in other way!!

20. u

ugawafisi Senior Member

#20
Jul 30, 2011
Joined: Jul 22, 2011
Messages: 127
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

ha ha ha! Unazunguka ili kutetea utumbo wako! Ishu ni moja tu hapa sababu ya kutolewa hiyo statement wabunge wapimwe akili ni nini? Bila shaka ni comedy inayoendelea mjengoni sasa rais anaingiaje hapo?

Loading...