Ccm makao makuu

Kirode

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
3,566
82
Juzi nilikuwa hapo dar makao makuu ya ccm nilimtembelea rafiki yangu anaofisi hapo na ndio mara yangu ya kwanza kuingia hapo, kweli hali ya iyo ofisi ni mbaya lifti imekufa jengo chafu , parking chafu. Nikamuuliza mnalipiaje kodi wakati mazingira machafu ivi? Akanijibu hapa ukitaka kufanya kazi inatakiwa upasifie tu hata ukikuta choo kimeziba inatakiwa useme ccm oye, ukifanya kinyume unafukuzwa kweli nimecheka sana mukama amka....
 
na bado wanataka tuwape ridhaa ya kuongoza nchi wakati wao wenyewe wapo hoi!
 
Back
Top Bottom