CHADEMA: Salute Kwa Ushindi Wa Kishindo!

Apr 27, 2006
26,588
10,374
- Well, jana Demokrasia imechukua mkondo wake na Chadema wameibuka washindi katika mchuano mzito sana, binafsi ninawapa congratulitons straight form my heart kwamba ushindi wao ulikuwa ni wa kishindo na sasa ni wakati wa kusonga mbele na kujali TAIFA KWANZA!

- CCM pia wanahitaji heshima kubwa kwa kukubali matokeo bila vurugu wala ubishi wa kuibiwa kura, matokeo ya uchaguzi wa jana yawe ni changamoto kwa vyama vyote vya siasa nchini kwamba siasa sio uadui wala vita, na asiye kubali kushindwa sio mshindani!

- SALUTE CHADEMA NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.
 
Lowassa anasemaje?
yuko happy na matokeo?
je kampeni ya kujivua gamba imekuwa ndo sababu ya CCM kushindwa?
au ni 'struggle for power within CCM' imerahisisha CCM kushindwa?
wewe kama insider unatuelezaje?
 
- Well, jana Demokrasia imechukua mkondo wake na Chadema wameibuka washindi katika mchuano mzito sana, binafsi ninawapa congratulitons straight form my heart kwamba ushindi wao ulikuwa ni wa kishindo na sasa ni wakati wa kusonga mbele na kujali TAIFA KWANZA!

- CCM pia wanahitaji heshima kubwa kwa kukubali matokeo bila vurugu wala ubishi wa kuibiwa kura, matokeo ya uchaguzi wa jana yawe ni changamoto kwa vyama vyote vya siasa nchini kwamba siasa sio uadui wala vita, na asiye kubali kushindwa sio mshindani!

- SALUTE CHADEMA NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.

Achana na Ubunge wa Afrika Mashariki na Maisha ya Anasa ya huko kwa Obama. Mkuu rudi kijijini kwenu Mtera ukakomboe ndugu zako. Yule Mbunge aliyemuangusha Mzee John hamna kitu, ni tabula lasa kabisa, an empty mind.. Anawapotezea muda wagogo wenzio. Ushindi wa chadema ilikuwa ni lazima!
 
Thanks mkuu

Mtera wanamhitaji zaidi William au mtu mwingine yeyote maana kibajaji kumbe ni mla bange tu
 
willy,
nimesikitika sana niliposikia hata wewe umeamua kujishusha namna hata kufikia level ya kuvizia ubunge wa mezani kwani that is way below your potential. jifunze kutoka kwa nassari kuwa uwakilishi wa kweli unatokana na wananchi na siyo kikdundi kidogo cha watu.
 
Binafsi nimefurahishwa na wanaCCM vijana jinsi mlivyokomaa kisiasa na mmeshuhudia jinsi watanzania wanahitaji mabadiliko ya kiungozi. Na nina uhakika, mioyo ya watu wengi imefurahia hata kwa wale ambayo demokrasia mliibaka mkawanyong'onyeza kwakuwa hawakujua nini wafanye, basi jana ilikuwa ushindi wa watanzania wengi popote walipo.
 
- Well, jana Demokrasia imechukua mkondo wake na Chadema wameibuka washindi katika mchuano mzito sana, binafsi ninawapa congratulitons straight form my heart kwamba ushindi wao ulikuwa ni wa kishindo na sasa ni wakati wa kusonga mbele na kujali TAIFA KWANZA!

- CCM pia wanahitaji heshima kubwa kwa kukubali matokeo bila vurugu wala ubishi wa kuibiwa kura, matokeo ya uchaguzi wa jana yawe ni changamoto kwa vyama vyote vya siasa nchini kwamba siasa sio uadui wala vita, na asiye kubali kushindwa sio mshindani!

- SALUTE CHADEMA NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.

Mnawakilishwa na kichaa huko mtera wahi ukalikomboe jimbo
 
Thanks mkuu

Mtera wanamhitaji zaidi William au mtu mwingine yeyote maana kibajaji kumbe ni mla bange tu

Yule Ndondocha tu! Elimu yake ni darasa la tatu na alikimbia umande na kukimbilia kutega ndege. Mshamba sana yule!
 
inasemekana pesa ilitoka ccm - kwenda - kwa wananchi - halafu wananchi wakaipeleka cdm. hii nayo inahitaji kufikiriwa. unayetoa pesa umenyimwa kura na anayeomba pesa kapewa na kura kapata, hayo mapya.
 
- Well, jana Demokrasia imechukua mkondo wake na Chadema wameibuka washindi katika mchuano mzito sana, binafsi ninawapa congratulitons straight form my heart kwamba ushindi wao ulikuwa ni wa kishindo na sasa ni wakati wa kusonga mbele na kujali TAIFA KWANZA!

- CCM pia wanahitaji heshima kubwa kwa kukubali matokeo bila vurugu wala ubishi wa kuibiwa kura, matokeo ya uchaguzi wa jana yawe ni changamoto kwa vyama vyote vya siasa nchini kwamba siasa sio uadui wala vita, na asiye kubali kushindwa sio mshindani!

- SALUTE CHADEMA NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William.

Hauna taarifa kwamba kuna wabunge wa chadema walicharangwa mapanga?
Au hiyo haikuwa vita bali salamu?
 
Pongezi za kinafki

Sure,mwishoni ange laani wana ccm kuchana chana wenzao na
mapanga ningemwona wa maana,lakini yeye alicho kiona ni
Ubunge tu ndo ume mshtua,ila maisha ya mtu kuhatarishwa kwake ni poa tu.
 
Ningekuwa mimi ndio wewe sasa hivi ningeachana kabisa na mambo ya ubunge wa magumashi wa E.A. na kuelekea Mtera na kujichimbia huko mpaka 2015 na kuchukua jimbo kiulaini kwa tiketi ya CHADEMA!! CCM wamemdhalilisha sana mzee wako huna sababu ya kubaki huko na nina hakika you will have his blessings if you decamp!! Huyu vuvuzela anakupeleka shimoni, ccm is a moribund party!
 
Binafsi nimefurahishwa na wanaCCM vijana jinsi mlivyokomaa kisiasa na mmeshuhudia jinsi watanzania wanahitaji mabadiliko ya kiungozi. Na nina uhakika, mioyo ya watu wengi imefurahia hata kwa wale ambayo demokrasia mliibaka mkawanyong'onyeza kwakuwa hawakujua nini wafanye, basi jana ilikuwa ushindi wa watanzania wengi popote walipo.

- Ni kweli Wa-Tanzania wanahitaji mabadiliko, uko 100% right!

William.
 
Back
Top Bottom