Safari ya Ukombozi Imeanza, Washabiki wa Magamba Mtajinyonga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safari ya Ukombozi Imeanza, Washabiki wa Magamba Mtajinyonga?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fredmlay, Apr 3, 2012.

 1. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nianze kwa kupongeza jamii ya wanamageuzi nchini kote kwa kuiwezesha CDM kufanikiwa kushinda kiti cha Ubunge Arumeru Mashariki, Viti vya udiwani kirumba Mwanza, Kiwira Mbeya na Lizaboni Songea. Ni ushindi mkubwa na wa kishindo..

  Safari ndio kwanza imeanza tusibweteke lengo letu ni kufika bandarini salama yaani kuikomboa nchi toka utawala wa kifisadi.. Tulishuhudia mengi kupitia hizi chaguzi ndogo na kwakweli zimefungua wengi akili na kujionea jinsi utawala dhalimu unavyotumia lugha chafu (LL, Tyson, MN, nk), ubabe na kejeli (BWM), nguvu ya pesa (EL, OleM nk). Matukio yote haya yametufungua macho watanzania wengi na kujua umuhimu wa mageuzi katika maendeleo ya nchi yetu. Kwa mfano fedha iliyokuwa ikitumika kuwapatia waendesha Boda Boda kwenye misafara ya kampeni zingetosha kabisa kutatua angalau kero ya maji/madawati/madawa kwenye kata moja, lakini badala yake zinatumika kurubuni wapiga kura ili udhalimu uendelee kutawala.

  Humu jamvini kulikuwa na mitazamo tofauti na lugha za kejeli, mimi binafsi napenda kukumbana na mitazamo tofauti kwani ndiyo inayokufanya kujitathmini na kutafuta mbinu bora zaidi za mafanikio, lakini hatuwezi kuwasahau kwa uchache wana-jamvi wafuatao:- Rejao, Pasco, Ritz, MS na Mtumishi aliyesema yeye atajinyonga CDM wakishinda AM..!Sijui kama tayari ni marehemu lakini nasubiri kusikia mshabiki wa mafisadi kajinyonga kwa Siyoi kuukosa ubunge. Hawa walijua mila, walijua hitaji la wana AM, walijua mafanikio mazuri kwa miaka 50 AM chini ya magamba, walijua umuhimu wa ndoa kwenye ubunge, walijua vema kuwalamba miguu watawala dhalimu sijui ni kwa kiasi gani cha malipo..!

  Haya yote ni mapito hivyo yatusaidie kusonga mbele daima.. huu ni mwanzo tu wa M4C hivyo hatuna haja ya kubweteka, safari ni ngumu inahitaji kujitoa mhanga ili kufanikiwa kufika bandarini salama,

  Rai yangu kwa wanamageuzi na viongozi kwa ujumla.. nguvu zetu sasa zielekezwe vijijini zaidi na ukanda wa Pwani wote pamoja Dar ambayo imekuwa nyuma kwenye mageuzi nchini. Tukifanikiwa hili tutarajie mashabiki wengi wa magamba/mafisadi kujinyonga.

  Mungu ibari Tanzania, ibariki CDM na wanamageuzi wote..:A S-omg:
   
 2. W

  Wenger JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  pamoja MKUU
   
 3. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  moja sana mkuu!! Maana watu wanadhani kila mara watanganyika watakuwa walewale wakudanganywa na pale wanapoakataa kudanganya wanatumia wahuni kupiga viongozi wetu ili kufanya na kuhalalisha uhuni wao..... Ila watambue watu wameamka.
   
 4. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kama ujuavyo mkuu charity start at home.. hamasisha wanaokuhusu ili tufikie malengo tunayotazamia..
   
 5. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Pamoja sana mkuu, watu wa Meru wametuonesha kuwa tukijitahidi tunaweza. Tatizo la magamba wanafikra
  yakuwa vijana wengi hawakujiandikisha wakati wazee wanao wategemea hawana shahada. :rockon: :yo:
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Nadhani hata kwa wana magamba na washabiki wake wote
  Watakuwa wamefurahishwa sana na uchaguzi wa Arumeru na matokeo yake
  Maana umewapa mwanga wa nguvu ya upinzani
  Labda wawe sikio la kufa, lakini uchaguzi huu watautumia kama darasa katika kufanya maamuzi ya nani apewe nafasi ya kuwakilisha bendera ya chama chao.

  Sioni haja ya wanamagamba kujinyonga zaidi ya kujifunza hapa.
   
 7. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  waache tu wajinyonge, mradi tuikumbushe NEC kufuta majina yao kwenye daftari la kudumu, hiyo ni sehemu ya ukombozi!!
   
 8. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Lakini Kongosho hawa jamaa kujifunza imekuwa ngumu.. yani mtu yupo radhi kusema nyeusi ni nyeupe na nyeupe ni nyeusi hadharani, mimi naona kama hawataki kubadilika acha wajinyonge kama ndiyo suluhu kwao..
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kuingia darasani lazima wameingia kwa uchaguzi huu
  Kuelewa somo ni uamuzi wao

  Wacha tuone nini kitafuata 2015, sie wananchi tumefungua macho na maskio
  Tunasubiri kwa hamu kupiga kura.
  Japo bado tunahitaji elimu ya kupiga kura hasa maeneo ya vijijini
  Wapiga kura wanakuwa intimidated kwa kiasi fulani na wasimamizi hasa hawa wasiojua kusoma na kuandika.

   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,263
  Trophy Points: 280
  [​IMG] chatu dume

  31st March 2012 12:37
  #1 [​IMG]
  [​IMG] JF Senior Expert Member Array


  Join Date : 27th February 2011
  Posts : 5,423
  Rep Power : 1317
  Likes Received468
  Likes Given2  [h=2][​IMG] Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni[/h]
  Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo. ​
   
 11. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  No Fear asante sana maana wengine hawaamini kuwa hawa vibaraka ni wajinga kiasi kwamba wako tayari kujinyonga kwaajili ya kuwezesha mafisadi kutawala... nilikuwa natafuta post ya Mtumishi nili-bookmark kwenye pc ya mtu nikiipata nitaiweka hapa waone kama ulivyofanya..
   
 12. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  [​IMG] +255

  31st March 2012 12:46
  #10 [​IMG]

  [​IMG]JF Senior Expert MemberArray


  Join Date : 1st January 2012
  Posts : 419
  Rep Power : 397
  Likes Received62
  Likes Given0


  Kweli magamba yakikuathiri akili inaharibika kabisa.. hebu ona huyo naye..
   
Loading...