Matokeo ya Arumeru mashariki ni ushindi wa antimagamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Arumeru mashariki ni ushindi wa antimagamba

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by TEMILUGODA, Apr 3, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wanabodi,Nimetafakari kwa umakini mkubwa sana juu ya ushindi wa CHADEMA pale Arumeru mashariki.Pamoja na nguvu ya CDM,lakini uwepo wa magamba kwenye timu ya kampeni za CCM Kulichagiza ushindi wa M4C.Angalia uwdepo wa BWM,ENL,LUSINDE[MATUSI NI UFISADI],WASIRA[UONGO NI UFISADI],NAGU,MAJIMAREFU,SENDEKA[UNAFIKI NI UFISADI],MUKAMA[UNBFIKI],NAPE[WOGA NI UFISADI].BORA JK HAKUHUSIKA.
   
 2. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135


  Ingekuwa sera za kusaidia msumbiji kuwa taifa la nguvu za kikomunisti na kkunga mkono Angola s ukomunisti ubakie CCM ingekuwa na la kuongea. Au ingekuwa ni kutukana wayahudi hadhalani na kulilia wapalestina wapate nchi yao na kushawishi umma wa kitanzania kuwachukia wayahudi-CCM ingekuwa na kuongea.

  Lakini katika kuongea nini kimefanyika tangia tupate uhuru kuwasaidia watu wa taifa hili wapapte ajira na kuboresha maisha yao- Masikini CCM haikuwa na cha kuongea! HIli CCM lazima fanyia kazi ili 2015 kuwa na cha kuongea.

  Kenya unaemployment rate ni 40% Tanzania 85% kweli nakili TANU imetuweka mahala pabaya sana . songea miaka 50 ya uhuru hakuna hata day waka! People now are getting back to their six senses, CCM be careful.
   
Loading...