Ni vyema nyinyi watoto wa viongozi mfahamu kuwa sio kila binadamu anaweza kuwa kiongozi. uongozi ni tunu kutoka kwa mwenyezi mungu wengine hupata karama tufauti amabazo zikitumika vizuri jamii...
Kwamba, bila wana CCM Joshua Nassari asingeweza kushinda kiasi kikubwa hivyo; CCM imepata kura pungufu karibu 7000 kulinganisha na 2010 wakati CDM imepata karibu 6000 zaidi kulinganisha na 2010...
Wasomi/wataalamu wa mambo ya siasa wanasema inawezekana Arumeru wamefuata mkumbo wa kutaka mabadiliko. Hii ni kutokana na CCM na ishu ya kujivua gamba bila mabadiliko yeyote. Watu wamechoshwa na...
Kwainavyooneka wananchi wengi wamekuwa na matumaini na CDM. na wengi wetu tunaitegeme kwa kutukomboa Taifa hapo mwaka 2015 kwa kuwakabidhi madaraka.
swali ninalojiuliza Je Chedema Mko tayari? na...
Kuna wanafunzi zaidi ya 25 walisimamishwa masomo katika chuo kikuu cha Dodoma wiki iliyopita tarehe 28.03.2012,sababu ni kuwa waliondoka chuoni wakiwa wamevaa sare za chadema wakienda huko kata ya...
"A politician needs the ability to foretell what is going to happen tomorrow, next week, next month, and next year. And to have the ability afterwards to explain why it didn't happen." Winston...
Vyombo vya habari leo vimemnukuu Waziri Mkuu mstaafu Bwana Edward Lowassa (Mb) kuwa Amerejea nchini na "yupo fit kwa mapambano".
SWALI: JE NI MAPAMBANO GANI ANAYOZUNGUMZIA LOWASSA?!
Sisi kama vijana wa Kitanzania tumekuwa tukikabiliwa na Changamoto kadha wa kadhaa kama vile Umri, Kabira, hali ya kindoa (Maritual status), hali duni ya uchumi, mitazamo hasi kuhusu vijana (wrong...
Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro ameitaka serikali kuachana mara moja na chaguzi ndogo kwani ni kutapanya hela za walipa kodi bure.
Mtatiro amesema serikali inapaswa kupitisha sheria...
Habar wana Jf!
Maelfu ya wananchi wa arumeru mashariki wanaanda utaratibu wa kuchanga fedha na kukodi malori ili waweze kumsindikiza mbunge wao bungeni aprli hii, uamuzi huo bado unaratibiwa na...
Nimeshindwa kumaliza kuhesabu wako wangapi lakini mimi naona wanamaliza pesa za walipa kodi
wabunge wanaotakiwa kuwepo bungeni wawe watu waliochaguliwa na wanancho na sio watu wanaokwenda mle kwa...
GENERAL
Salutation
Honourable
First Name:
Vincent
Middle Name:
Josephat Kiboko
Last Name:
Nyerere
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Musoma Mjini
Political Party...
Kwa taharifa nilizozipata ni kwamba CCM wana mpango wa kumuandaa Mhasibu wa Chuo cha SAUT ambaye amesoma kozi ya ADA hapohapo chuoni na kupatiwa ajira pia ili kupambana na Wenje ifikapo 2015 lengo...
Ninayo furaha kubwa kujiunga katka mtandao huu wa kijamii, ninamatumaini makubwa kuwa mtanipkea na kunishirikisha katika mambo mbalimbali yanayohusu jamii na nategemea kujifunza mengi kutoka kwenu...
Pitisha jicho kama una muda..............
France Targets African Princes
News that judges in France are seeking the indictment of the son of oil-rich Equatorial Guinea for money...
@ Facebook: by William Malecela on Tuesday, June 7, 2011 at 8:36pm
@ NEW YORK CITY-US: Hongera sana Serikali ya CCM kwamba kwa mara ya Tatu toka tupate Uhuru, imeonyesha kuwa ikiamua inaweza...
Chadema imeshinda ubunge Arumeru Mashariki ambapo takriban wapinzani wote walizipokea habari hizo kama tukio la kawaida. Ingawaje ktk chaguzi ningine nyingi chadema wanakua wazito sana kukubali...
Wakati nimejipa ka-Homework haka,
kujaribu kusaka kwa kina majumlisho ya Kura zote za CHAMA TAWALA (sio Ongozi),.. 26,296 Huyu Siyoi KAZIPATAJE? Hakuna Uwezekano kwamba Tanzania ya leo bado kuna...