MSIDHARAU Vijiji na Serikali za MITAA/KATA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSIDHARAU Vijiji na Serikali za MITAA/KATA

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Eng. Y. Bihagaze, Apr 3, 2012.

 1. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Wakati nimejipa ka-Homework haka,
  kujaribu kusaka kwa kina majumlisho ya Kura zote za CHAMA TAWALA (sio Ongozi),.. 26,296 Huyu Siyoi KAZIPATAJE? Hakuna Uwezekano kwamba Tanzania ya leo bado kuna mtu ambaye analadha hata kidogo na Chama Hiki isipokuwa wale ambao kula yao na kwenda choo kwa watoto wao kunategemea utawala huu dhalimu wenye Vitisho, Matusi, Fujo, Mapanga, Wizi aka Ufisadi na Mauaji. wakati nahitimisha ka homework kangu nikagundua serikali za mitaa/Vijiji na kata si za kudharau hata kidogo. Vyama Vingi vya siasa huwekeza mtaji mkubwa kwenye chaguzi kubwa za Urais na Ubunge na kusahau kada hii muhimu ya uongozi yenye mtandao mzito sana.. tazama hii ..

  Tuanze na kata Zote 17 ambazo madiwani wake wote wanatoka chama hili yaani (Akheri, Poli, USA-River, Mbuguni, Seela, Sing'isi, Nkoarua, Maji ya Chai,Kikwe, Maroroni, koaranga, King'ori ,Songoro ,Ngarenanyuki, Makiba,Leguruki Mkoandrua)

  Diwani (yeye mwenyewe kura 1, mkewe 1, watoto let say 6 kura 6 so jumla ya kura hapo ni kama 8 kwa diwani mmoja na familia yake.. kwa Hesabu za vidoleni kwa kata zote 17 [17x8=136]

  Madiwani na Ndugu zao, let say kila mmoja ana ndugu kama 14 hivi hapo tunapata (136 x14 = 1,904)Kila Diwani Lazima awe na Nyumba kubwa au ndogo au ameshanyang'anga mke/mume wa mtu sehem kama ilivyo ada yao so kura za Nyumba ndogo/kubwa (17x8 =136) hizi nyumba ndogo/kubwa nyingi huwa zina domo kwelikweli ndio hawa waliokuwa wakishangilia matusi ya Lusinde so wanaweza kutumia domo lao kuwalaghai ndugu zao.. so tunapata kura kadhaa hapa(136 x 5 x 2) 1360.Nadhani upande wa madiwani tuna kura zifuatazo1,904 + 1360 = 3,264

  Twende sasa Vijijini:Wenyeviti wa serikali za Vijiji na Mitaa wote 86 ni CCM (menyekiti kura 1, mkewe/mumewe kura 1, watoto wao let say 9 maana hawa wanazaa sana, so tunapata kura 9 na vijiji 86 ..(11x86 = 949.)Kila mtu akirubuni watu watatu (949 x 3)= 2,847

  Na kama idadi hii iko hivi basi tupande nayo kwenye kada nyingine za uongozi kama ifuatavyoWajumbe kamati za, 1. Uchumi, 2. Mazingira. 3. Ulinzi . 4. Elimu, 5. Mali asili .6. Fedha wa serikali za Mitaa/Vijiji wao pamoja na watu 3 wanaoweza kuwarubuni (kura 2,847 x 6 = ) 17,082

  Jumla Kubwa ya Kura wezekano za Chama cha Makudadadeki ni 17,082 +3,264 =20,346

  Hapo bado hujajumlisha kura za wake za wenyeviti (wenyeviti wao hawana nyumba ndogo wala kubwa wao haiwasumbui kuoa wake zaidi ya wawili au kuolewa na waume zaidi ya mmoja ni kitu cha kawaida kabiiisa kwenye Chama cha Makudadadeki)

  My Take: Kwa mtandao huu wa kura , lazima Vyama vya Upinzani vijiandae kweli kweli kwenye Chaguzi zote kuanzia serikali za mitaa na Vijiji.. Chaguzi hizi si za kuzidharau hata kidogo. Lazima kuweka Nguvu kubwa Vilevile kuhakikisha serikali asilimia kubwa ya Viongozi wa Serikali za mitaa/vijiji ananyang'anywa Nyangumi huyu anayejiita CCM (Chama Cha Makudadadeki)..
   
 2. Ishina

  Ishina Senior Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwanza Jaribu kuweka paragraph katika bandiko lako liweze kusomeka vizuri na bila kumchosha msomaji.

  Pili, Nakubaliana na analysis yako, na kwa kiasi kikubwa kuna ukweli hapo. Inabidi CDM tuwekeze saaana na kufanya uhamasishaji wa kutosha huko kwenye Vijiji, Kata na vitongoji. Bila shaka uongozi wa CDM umesikia na utaweka mikakati madhubuti kwa ajili ya suala hilo la kujiimarisha ngazi hizo za chini.
   
 3. R

  Richruge Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimependa sana hiyo research. CDM ikijitaidi kuongoza serikali za mitaa itajiweka katika hali nzuri ya kuchukua serikali. Udiwani Kirumba haukuleta shida sababu tiyari walikuwa (CDM) madarakani.
   
 4. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  emu ngoja nijaribu kusoma tena
   
 5. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Loading............
   
 6. U

  UZEE MVI Senior Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  HOJA IPO LAKINI MIFANO IMENIACHA HOI. NGOJA NICHEKE KWANZA NITACHANGIA BAADAYE>>>:A S shade:
   
 7. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Shukran done
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Unalo sema ni kweli ndiyo hata Rejeo alikuwa anasubiri kwa hamu sana kura za mashambani zilipo kwisha kuletwa zote akapotea hadi sasa simuoni

  ukweli huu ni lazima Jamaa wajipange upya kutoa elimu huko vijijin
  i
   
 9. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu ulikuwepo au unahisi?...Shughuli ilikuwa pevu kuliko fikra zako...kosa kidogo tu ma.ga.mba walikuwa wanaibuka kidedea.
   
 10. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kampeni za Mvua njoo Katarina usije.. Ziishe sasa

  Mnamo September 1928, kwenye kitongoji cha Leeward Mji mdogo Wa Puerto Rico, ndani ya mji wa Florida nchini Marekani ulikumbwa na upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa uliojulikana kama hurricane Katrina. Kimbunga hicho kilileta vifo Na uharibifu wa Mali kiasi ambacho hakikuwahi kurekodiwa nchini humo. Basi serikali ya Marekani ikatishika Na kuwasihi watu wamuombe Mola kwamba Mvua Ije Lakini Katrina no... Na Msemo huo ukaenea sana. Wazee wetu wakashindwa kutafsiri neno Katrina badala yake wakasema Katarina.. Wakatenda mbali Na kupotosha uhalisia kwamba Katrina ni Katarina(Jina la Kike) Na kutukaririsha kwamba tuimbe mvua njoo katarina (Mke) usije wakimaanisha Bora mvua kuliko mwanamke.

  Nadhani ndio Fikra za Chama Letu CCM, Kampeni Na sera za kuwarubuni wadanganyika ambao sasa wameshagundua Ni Katrina sio Katarina...
   
 11. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  goood analysis hata mimi nilimweleza marehemu regia(RIP) kabla hajafariki na iko kwenye stiky thred yake
   
Loading...