Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
GENERAL
SalutationHonourable
First Name: Vincent
Middle Name: Josephat Kiboko
Last Name:Nyerere
Member Type:Constituency Member
Constituent: Musoma Mjini
Political Party: CHADEMA
Office Location: Box 557, Musoma
Office Phone: +255 28 2620610/+255 713 275804
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mukendo Primary SchoolPrimary Education19831985PRIMARY
Mwere Primary SchoolPrimary Education19851988PRIMARY
Iringo Primary SchoolPrimary Education19881989PRIMARY
Ikizu Secondary SchoolO-Level Education19921995SECONDARY
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
No items on list
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
CHADEMAMember - District Management Committee2007
PUBLICATIONS
Description Published Date
No items on list
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition TypeRecognition DateReasonAction TakenIssued by
No items on list
 
Ndio maana Mkapa alikuwa na mashaka kama vicent ni wa ukoo wa Nyerere elimu yake imejaa viraka anahitaji kwenda shule kama alivyofanya Mbowe. Elimu haina mwisho lakini inategemea kama anapenda shule
 
Anatumia jina la nyerere huko musoma ukisema Nyerere baasi

Huyo Vicent anaonekana ni mtu wa matusi tupu kwa sababu CV yake tu inaonyesha amesoma shule tatu (3) msingi ambazo zote zipo hapo hapo Musoma Mjini inaonekana hana nidhamu.
 
Akili za Magamba zimekua kama za watoto wa Chekechea, kwani mtu anapoweka profile yake lazima aandike mpaka elimu yake? we unachotakiwa kumjua yeye ni nani na anwani zake na nini anafanya hiyo education profile haikusaidii chochote, na huyu Vicent huwezi mfananisha na wale wabunge vilaza wa CCM,
 
Vicent amenajisi elimu kumpa ukampeni meneja Arumeru kama chadema watashinda wategemee CCM kukata rufaa kwa maneno yake likiwemo la Mkapa alimuua Nyerere.
 
Anatumia jina la nyerere huko musoma ukisema Nyerere baasi
ndiyo maana ana uwezo mdogo wa kufikiria.......nimeamini CHADEMA inabebwa na DR.SLAA kwa vile alikuwa makini sana akiwa mbunge pia anapendwa na WANA CCM pia sema fitina zilimkimbiza mzee wa watu.Angekomaa ndani ya CHAMA labda leo angekuwa PRESIDA wetu lakini kumbe MUOGA SANA.....alizoe kazi ya upadre.

Vipi ishu ya kuambiwa siyo mtoto wa JK Nyerere? Je middlename hapo juu ndiyo jina la MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE?
 
Huyo Vicent anaonekana ni mtu wa matusi tupu kwa sababu CV yake tu inaonyesha amesoma shule tatu (3) msingi ambazo zote zipo hapo hapo Musoma Mjini inaonekana hana nidhamu.
Kwa hiyo wananchi wa Musoma Mjini walimchagua muhuni mwenzao?
 
Akili za Magamba zimekua kama za watoto wa Chekechea, kwani mtu anapoweka profile yake lazima aandike mpaka elimu yake? we unachotakiwa kumjua yeye ni nani na anwani zake na nini anafanya hiyo education profile haikusaidii chochote, na huyu Vicent huwezi mfananisha na wale wabunge vilaza wa CCM,

Kwa hiyo wewe ni shabiki wa viongozi wasio na elimu? kama wapo CCM ungependa na chadema wawepo?
 
Kwahiyo wote waliosoma Musoma ni wahuni ! ujinga mwingine huu ,

Usipotoshe Mkendo, Iringo na hiyo shule nyingine zipo wapi? kuna umbali gani kutoka shule moja kwenda nyingine? jes hizo si shule maarufu Musoma? alikuwa anahamahama kwa sababu gani kama si utovu wa nidhamu? usitetee uhuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom