Wanasiasa wa Tanzania na Maono ya Winston Churchill 1874-1965.

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
"A politician needs the ability to foretell what is going to happen tomorrow, next week, next month, and next year. And to have the ability afterwards to explain why it didn't happen." Winston Churchill quotes (British orator, author and prime minister during World War II. 1874-1965)

Ukifatilia hayo maneno ya huyo bwana hapo juu ni dhahili utapata majibu ya mwenendo wa kisiasa wa Tanzania kwa sasa, Natumai utakubaliana nami mambo hayapo sawa, pia kwa pamoja tutaungana kutilia shaka wanasiasa wa Tanzania hususani mchango wao ktk maendeleo ya nchi yetu.

1. Je tatizo ni nini na nin kifanyike?

2.Je mfumo wa siasa zetu ni endelevu?

Majibu ya Maswali haya yanategemea zaidi uelewa wako juu ya mambo husika zaidi ni MCHANGO WA WANASIASA WETU KATIKA MAENDELEO YA NCHI YETU. Karibuni ktk mjadala..
 
Back
Top Bottom