Ubunge maalum/wakuteuliwa ufutwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubunge maalum/wakuteuliwa ufutwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Apr 4, 2012.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Nimeshindwa kumaliza kuhesabu wako wangapi lakini mimi naona wanamaliza pesa za walipa kodi

  wabunge wanaotakiwa kuwepo bungeni wawe watu waliochaguliwa na wanancho na sio watu wanaokwenda mle kwa sababu walemavu au wanawake au wake za watu

  sijapioga mahesabu kila mbunge maalum anatucost how much lakini nadhani they are not fit for purpose

  je nyinyi mnaonaje?
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  utaleta ugomvi wewe...............mana vile ni vitoweo vya wakulu
   
 3. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa Mikatabafeki maana wengine mpaka CV zao lolllllll nikama za Lushide,,,,
   
 4. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vikifutwa CUF Chama cha upinzani bungeni maana au itabidi waunde serikali kivuli wakishirikiana na CDM, inshort wabunge wa kuteuliwa wana manufaa kwa CDM kuliko cham chochote cha upinzani kama ulikuwa hujui.
   
Loading...